January Makamba: Kasi ya Magufuli, Majaliwa imeipa Uhai CCM

Magufuli piga chini hawa wahuni wanao kulengesha ili wachaguliwe uwaziri. Makamba hqfai,tafuta vijana wengine achana na wapiga deals wa JK na CCM.
 
Mpaka hapo sijaona kazi yoyote ile ambayo CCM imefanya, ila nimeona utashi na uzalendo wa Rais Magufuli katika ubora wake
 
Ni kweli kabisa sasa tunatembea vifua mbele mabadiliko tunaanza kuyaona cha msingi nikumuombea tu kwa Allah amzidishie uhai na afya tele aweze kutumbua majipu vizuri.
 
Embu chukua time Makamba mwache mwanaume afanye kazi yake. Juzi umemtusi leo unajikomba tabia za kishoga hizo.
Ni raisi wa Tanzania sio CCM, huko si bado mnae Kikwete

Huyu dogo anazidi kuwapa watu hasira. Lazima ajue huyu ni raisi wawatanzania na siyo CCM.

Maswala ya ccm yaliisha tarehe 25 Oct. Akafie mbali.
 
HUyo bwana hata kama ana point, naiona kama sio tu, its either ana damu ya kunguni, au his style is irritating
 
January, keep politics out of what the president and the prime minister are doing.

Most of us who voted for Dr Magufuli are not ccm members and his theme during the campaign was that his is not vying for ccm presidency but president for all Tanzanians.

CCM keep quiet lest you will spoil the support and accolades the government is now enjoying bearing in mind that it is ccm which put the country in the mess it is now in!
 
Watu mnajitahidi kumtenganisha Magufuli na CCM. Subiria atapopewa uwenyekiti cjui mtasemaje
 
Watu mnajitahidi kumtenganisha Magufuli na CCM. Subiria atapopewa uwenyekiti cjui mtasemaje

ni yeye mwenyewe alijitenga na ccm,kwenye kampeni kama umesahau,kasome tena mabango,'chagua magufuli' na "serikali ya magufuli'.
 
Tuna ngoja kwa hamu apewe maana rungu lake litatua na huko ili TUPONE na kuiona CCM ya Mwl Nyerere. Hataki KIUNGULIA mzee wa watu......

Queen Esther

Watu mnajitahidi kumtenganisha Magufuli na CCM. Subiria atapopewa uwenyekiti cjui mtasemaje
 
Watu mnajitahidi kumtenganisha Magufuli na CCM. Subiria atapopewa uwenyekiti cjui mtasemaje

Amesema hataki kofia ya uenyekiti wa chama. Chama kimetoa ilani kwa hiyo iiachie serikali kwenye utekelezwaji na kutoa taarifa. Hapo kutakuwa na demokrasia na uwajibikaji.
 
Kumbe ccm ilikufa? asante sana jmakamb kwa kututhibitishia kwamba hatukuwa na serikali hapo nyuma ndomana kila mmoja alikuwa anajichumia tatakavyo
 
Anadhibitisha yale yote yaliyokuwa yanasemwa kuhusu CCM kuwa ni ya kweli. Kwamba ccm ilikuwa imeshakufa bali kulikuwa na genge la maharamia waliokuwa wanatumia mwamvuli wa chama kutudhoofisha kwa manufaa yao.
Hebu wamuache Magufuli, Magufuli ni ccm kadi tuu lakini sio ccm ideology. Alishaachana nayo kuanzia wakati wa kampeni na anajua hata hizo kura walizompa hawakumpa kwa vile yeye ni mwanaccm bali walimjaribu kama Magufuli personally. Kama kuna deni atadaiwa na wapiga kura ni yeye na sio chama alichotumia tiketi yake kugombea
 
Kweli mlipigana kufa na kupona ndo maana mliendesha kampeni za kishenzi ili muendelee kula keki ya taifa, na kinacho endelea zenji kila mtu anapna hakika mtalipa kwa matendo yenu
 
January hata aibu huna.

Mbona mlikaa muda wote huo kimya huku wananchi wakiendelea kuteseka. Leo bila aibu unasema eti wana CCM watembee kifua mbele? Tunajua fika kwamba hampo pamoja na Rais wetu, huo ni unafiki tu.

Lakini fanyeni mfanyalo,mabadiliko ni lazima yaje.Mungu yupo pamoja nasi.
 
Back
Top Bottom