Uchaguzi 2020 January Makamba asema hana uhakika kama atagombea Ubunge 2020

Makamba ni miongoni mwa vipaji vichache vinavyovizwa na kuuliwa na mtu mmoja fulani. Eeh Mingu linusuru taifa hili.

Yale ya Burundi na yatimie hapa Tanzania.
 
Tatu Bora ya CCM ni Magufuli,Mama Samia na Makamba
Tano Bora nadhani Ni Migiro na Membe
Hapana mkuu,
Tatu bora walikua na Magufuli, Balozi Dk. Amina (mzenji) na Dk. Asha Rose Migiro.
Top 5 ndio Makamba na Membe walikuwepo
 
Hivi fomu amechukua huyu? Maana atakatwa asubuhi hakujakucha.
Makamba nape ridhi moko chenge na mwakiembe dodo na wale wakongwe wote ni out wote yaani kwa kifupi wabunge karibuni wote waliokuwa wa jk ni wachache sana wataula
 
Back
Top Bottom