Nakumbuka alikua 3 bora.Hapana, aliingia kwenye tano bora. Akatolewa yeye na Membe
YeahAnajua hatapitishwa
Tatu Bora ya CCM ni Magufuli,Mama Samia na MakambaHapana, aliingia kwenye tano bora. Akatolewa yeye na Membe
Hapana mkuu,Tatu Bora ya CCM ni Magufuli,Mama Samia na Makamba
Tano Bora nadhani Ni Migiro na Membe
PowaHapana mkuu,
Tatu bora walikua na Magufuli, Balozi Dk. Amina (mzenji) na Dk. Asha Rose Migiro.
Top 5 ndio Makamba na Membe walikuwepo
Samia wala hakugombea kabisa uraia. Aliteuliwa tu.Tatu Bora ya CCM ni Magufuli,Mama Samia na Makamba
Tano Bora nadhani Ni Migiro na Membe
Ahaa,yule mwanamama aliyeingia tatubora yukowapi?Samia wala hakugombea kabisa uraia. Aliteuliwa tu.
Hahahaaaa...... Wewe unaamini ametoka?!!!!Aaaahaa Mataga bwana!!!!
Ni Magufuli, mama Samia na MigiroTatu Bora ya CCM ni Magufuli,Mama Samia na Makamba
Tano Bora nadhani Ni Migiro na Membe
Ni Magufuli, mama Samia na Migiro
Atamwachia Membe amalize kipindi cha pili. Watanzania oyee.
Ndiyo Asha Rose Migiro sijui yuko wapi tena. Yaani hakupewa hata chochote. Kazi kweli siasa hizi.Ahaa,yule mwanamama aliyeingia tatubora yukowapi?
Labda amestaafu anakula mafaoNdiyo Asha Rose Migiro sijui yuko wapi tena. Yaani hakupewa hata chochote. Kazi kweli siasa hizi.
Ni balozi wa Tanzania nchini uingereza( UK)Ndiyo Asha Rose Migiro sijui yuko wapi tena. Yaani hakupewa hata chochote. Kazi kweli siasa hizi.
Makamba nape ridhi moko chenge na mwakiembe dodo na wale wakongwe wote ni out wote yaani kwa kifupi wabunge karibuni wote waliokuwa wa jk ni wachache sana wataulaHivi fomu amechukua huyu? Maana atakatwa asubuhi hakujakucha.