Allien
JF-Expert Member
- Jul 6, 2008
- 5,546
- 1,861
wewe sikuwezi,ungekuwa mpole kidogo......:wink2:.........:hand:..........:rain:
Jamani Madame Mich; unanigeuzia kibao wakati mwenyewe ndo ulinipotezea?
Mimi siyo mkali bana . . .
Adolf Hitler alikuwa mkali na mbabe wa kivita. dunia ilimgwaya . . . lakini home mbele ya Mrs alikuwa kama mtoto vile . . .
Ukipenda naweza kuwa mpangaji wa kudumu . . . ndani ya moyo wako . . . LOL
Respect Madamme!