Jana nimetembea Kilometa 43 kwa miguu

Attachments

  • Screenshot_20230701-143149.png
    Screenshot_20230701-143149.png
    58.6 KB · Views: 4
huwa siongei pumba mkuu ukiwa mzembe hauna mazoezi ya mara kwa mara unakuta na nimeona kwa macho yangu .

Hivi viatu vya ngozi na raba za ngozi huwa zinaisha unanunua kingine
Sijakubishia mkuu, nimeshangaa tu! Na ingekuwa upumbavu kama ningekubishia bila kuwa na uthibitisho.

Ila..., hongera!!!
 
43÷9= 4.7 km/hr
Ambayo ni almost mita 80 kwa dakika

Kitua ambacho naona alkua Kama anakimbia vile, sio kutembea Tena
Sahihi, mwendo wa kutembea kawaida, 43km utatumia muda usiopungua saa 11 bila kusimama au kupunguza spidi
 
Nilikuwa natembea na baiskeli km 55 kwa 3hrs.

Mara ya mwisho nilitumia baiskeli kuwahi usaili wa sensa.
 
Mi niliwahi tembea kwa mguu kutoka Geita mpaka sengerema, ilikuwa 2013.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Nakumbuka one day nilikuwa naendesha baiskel sasa kuna ile hutak mtu akuache njiani basi kuna jamaa nilikuwa nafukuzana nae kimya kimya kushtuka saa 10 jion naingia sengerem toka geita ile kurudi nafika kasamwa ilibidi baiskeli yangu niipand3she gari
 
Nakumbuka one day nilikuwa naendesha baiskel sasa kuna ile hutak mtu akuache njiani basi kuna jamaa nilikuwa nafukuzana nae kimya kimya kushtuka saa 10 jion naingia sengerem toka geita ile kurudi nafika kasamwa ilibidi baiskeli yangu niipand3she gari
Kasamwa na geita mbona karibu ila sijui why nauli ni elfu mbili
 
43÷9= 4.7 km/hr
Ambayo ni almost mita 80 kwa dakika

Kitua ambacho naona alkua Kama anakimbia vile, sio kutembea Tena
Hapana alikuwa hakimbii. Maana mimi natembea kilia siku jion umbali wa km 6 kwa saa.
 
Mmmmhhhh Si kweli ,kutoka Posta hadi Ubungo haizidi km 10 na Ubungo hadi kimara haizidi 4km na kimara mpaka mbezi napo haizidi 4km ,so roughly Posta to Magufuli Terminal QUOTE]Hapo umekadiria vizuri.

Mloganzila Hospital wanasema ipo km 21 kutoka MNH, ila hapa nawapinga, angalau wangesema km 24 ningekubali.

Pia linganisha, kutoka Kibaha hadi Mlandizi ni approx km 35.

Kwa hiyo Posta hadi Magufuli Terminal haiwezi kuwa km 38 maana sio mbali kama ilivyo Kibaha hadi Mlandizi.
 
Ongera sana mkuu kwa kupunguza kitambi mana vijana siku hizi vitambi ndio imekuwa jadi yao
 
Back
Top Bottom