Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,690
- 220,731
JF Imewashukuru waandaaji wa Tuzo hizo Tanzania Digital Award (TDA) Kwa kutambua mchango wa JF katika kuhamasisha haki za kidigital.
Mungu ibariki JF
Hii bado haijatoka , ila nadhani atachukua MwabukusiNa ya kuhamasisha kuondolewa kwa dipiwedi kapewa nani
Yule Nsala yuko wapi? Nshomile kayeyuka?Hii bado haijatoka , ila nadhani atachukua Mwabukusi
Ni mbinu za mapambano tu .Yule Nsala yuko wapi? Nshomile kayeyuka?
Tuzo moja ni ya kuhusu Taasisi bora inayotetea na kuhamasisha haki za kijamii na kisiasa mitandaoni , tuzo ya pili inahusu Taasisi bora kiongozi isiyo ya kiserikali inayofanya uchechemuzi wa masuala ya kidigital na uwajibikaji
JF Imewashukuru waandaaji wa Tuzo hizo Tanzania Digital Award (TDA) Kwa kutambua mchango wa JF katika kuhamasisha haki za kidigital .
Mungu ibariki JF
Sikufanya kosa kujiunga na JF. Unaweza kunichukulia kama mchezaji wa reserve wa timu kubwa kama Simba, ambaye hucheza mazoezini tu. Nimepokea maua!
Heko JamiiForums na mamebers wote.
Naona kaka yako mh.wakili yuko kazini na jopo lakeHii bado haijatoka , ila nadhani atachukua Mwabukusi
Unayo namna yako ya kutumia maneno kiufundi sana, lakini kwa mpangilio wa kipekee kabisa na kufikisha ujumbe.Sikufanya kosa kujiunga na JF. Unaweza kunichukulia kama mchezaji wa reserve wa timu kubwa kama Simba, ambaye hucheza mazoezini tu.
Hatahivyo Nimepokea maua!
Heko JamiiForums na mamebers wote.
Asante kwa taarifa, Big Up JF, Big Up Maxence Melo , big up sana wana jf kwa ujumla wetu!.Tuzo moja ni ya kuhusu Taasisi bora inayotetea na kuhamasisha haki za kijamii na kisiasa mitandaoni, tuzo ya pili inahusu Taasisi bora kiongozi isiyo ya kiserikali inayofanya uchechemuzi wa masuala ya kidigital na uwajibikaji.
JF Imewashukuru waandaaji wa Tuzo hizo Tanzania Digital Award (TDA) Kwa kutambua mchango wa JF katika kuhamasisha haki za kidigital.
Mungu ibariki JF
yupo sana tena sana. Kamfuate magufuli mume wako. lakini mlipigwa na kiu kizito hamtakuja kusahahu. Mungu ni fundi, akatuondolea shetani Luciferi. badi jingine nalo siku si nyingi Mungu atatendaYule Nsala yuko wapi? Nshomile kayeyuka?
Big ups!!View attachment 2689503
View attachment 2689504Tuzo moja ni ya kuhusu Taasisi bora inayotetea na kuhamasisha haki za kijamii na kisiasa mitandaoni, tuzo ya pili inahusu Taasisi bora kiongozi isiyo ya kiserikali inayofanya uchechemuzi wa masuala ya kidigital na uwajibikaji.
JF Imewashukuru waandaaji wa Tuzo hizo Tanzania Digital Award (TDA) Kwa kutambua mchango wa JF katika kuhamasisha haki za kidigital.
Mungu ibariki JF