JamiiForums SMS Alert is LIVE

Status
Not open for further replies.
Yeyote yule anaweza kuregister. Hata kama sio JF member.
poa basi ngoja tutafute "wateja", najua kuna watu hawasomi hata blog moja huku duniani lakini wana simu na wangependa kupata hizo breaking news. kwa kifupi nimechoka kuulizwa maswali kila nikiwa-brekia news toka JF.
Kazi nzuri wakuu
 
Nice one...hongereni sana kwa kunzisha huduma bora...ni hatua kubwa sana mliyofikia...too bad sitaweza kuifaidi mapema maana mimi sio mtumiaji wa Vodacom.

Kabisaaaa,inabidi ni-activate my vodacom number. Nitafute kamchina ka-line mbili ili voda iwe hewani nifaidi na mie.
 
nimeipenda na jana niliona tangazo la vodacom likiwa na ujumbe kuhusu jamii forums kwa 50 tsh
JF rocks all the best+ vodacom
 
Safi Sana JF,Ngoja tujiunge!!! Mngepitia kwa 6telecom kwa kina cpwaa mambo yangeenda vizuri kwani ni stakeholder wakubwa sana hawa pushmobile.
 
Nataka niulize ni news gani hasa mf,kuna watu wanaleta habari za uongo na uzushi hapa mara dr slaa kafariki ni pamoja na hizo?
 
Safi Sana JF,Ngoja tujiunge!!! Mngepitia kwa 6telecom kwa kina cpwaa mambo yangeenda vizuri kwani ni stakeholder wakubwa sana hawa pushmobile.

Mkuu, tumepita kote huko, ila revenue sharing ni ndogoo mnooo. Hapa tulipo we have got the best deal we can get.

Nataka niulize ni news gani hasa mf,kuna watu wanaleta habari za uongo na uzushi hapa mara dr slaa kafariki ni pamoja na hizo?

Habari zitakazotumwa ni ambazo zimekuwa verified na JF administration
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom