JamiiForums Shinyanga wing: Ingia humu tujuane

habari JF shinyanga mko poa? nikweli lazima tuungane na tusimame kwa pamoja ili kuihakikisha tunaijenga shy mpya.
 
asante kwa muanzisha thread..
karibuni Kambarage nyuma ya kanisa la AIC... Sexologist andaa mkutano tujuane vizuri mzazi
 
FP vipi?? mbona upo 'Full Presha'

au unaogopa jina la mshkaji.. daah ila ata mimi hilo jina lake!! simuoneshi shemejie!
 
Binafsi nimeingiza watu kumi JF.. ambapo naamini na wao watakuwa wameingiza wengine..

na wewe fanya hivyo tuikomboe TZ!
 
Hata nkoma JF inapatikana.

Ahsante sana kama hadi uko mnaipata, kesho naelekea MWABUSALU HADI SAKA-SAKA KUONANA NA WANA JF HUKO,Nikipitia IKUNGULYANKOMA NA MWAMITUMAI na IPILILO.Lazima jf kufikia 2014 iwe kama katiba mpya ienee pote shy.ntarudia KUPITIA BUDALABUJIGA,GAMBASINGU NA NGULIATI NA GAMBOSHI.
 
angalau kila mwana-shy aliyepo humu alete wengine kumi.. ili tuanze kujadili vyema umaskin v/s utajiri
ULIOPO SHY!!!
 
Back
Top Bottom