C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,070
- 3,718
Habari zenu wakuu, ni muda mrefu sasa watanzania tumekuwa tukitumia mtandao wa JamiiForums na umekuwa una mafanikio makubwa sana so nikaona sio mbaya kama iwapo tukaiweka JamiiForums katika wikipedia free encyclopedia.
So hii nikiifanya mimi CTU kama CTU haiwezekani bali nitahitaji mawazo ya kila mtu hapa katika kufanikisha hili so hata kama sio mimi ambaye nitaandika mtu yeyote anaweza andika so naomba tujuzane vitu vufuatavyo kuhusu JamiiForums
Mwaka ulioanzishwa
Historia yake
Idadi members wake
Sababu za kukua kwake
Ufanyaji wake wa kazi
Uwiano wa JamiiForums na mitandao mingine ya kibongo
Makao makuu yake
Jina la mwanzilishi
Mapato yake kwa mwaka
Net worth ya mwanzilishi - (nothing personal) lol
Alexa rank
Ukuaji wake
So kama mtu ana data kati ya hivyo vitu hapo juu atakuwa amesaidia kutoa data kwa ajili ya research ya kupata kwa ajili ya plan ya kuiweka JamiiForums katika wikipedia na kuipromote JamiiForums world wide.
Tafadhali nisaidieni katika hili
NB: Hata kama una data zingine ambazo haziko hapo waweza share na sisi katika kufanikisha zoezi hili

Nilifanya jitihada ya kuandika kama mtoa mada alivyopendezwa baada ya kuona muda mwingi umepita na tulishindwa kufanya, maelezo ya humu sehemu kubwa yametoka kwenye mahojiano yaliyofanyika kati ya Maxcence Melo na wadau humu jamvini na articles zilizopo mtandaoni.
JamiiForums Wikipedia