JamiiForums ndani ya wikipedia

Mbona mmesahau kumuweka FaizaFoxy selebriti namba 1 wa JF? Mnanchekesha.

Hongera sana JF.
 
wazo zuri!

ila kwa upande wa kukabiliana na wingi wa members, kuna wrong data nyingi sana zitajitokeza!

kuna watu humu tuna id nyingi mno! kwa mfano mimi!

mmh.. enzi hata sijielewi maana ya jf.. nafungua leo, baada ya wiki nasahau password halafu sijui jinsi ya kuirudisha, so najionea solution ni kufungua id nyingine!

hivyo kuna sleeping idz nyingi sana chini ya carpet.

hakuna sensa ya vizazi na vifo humu.. je unadhani hilo litatupa real data juu ya member waliopo humu?

kuna haja ya kufanya sensa kwanza, haiwezekani eti kila siku members wanaongezeka tu hamna hata 0.1 percent decrease, its impossible!
 
Nilifanya jitihada ya kuandika kama mtoa mada alivyopendezwa baada ya kuona muda mwingi umepita na tulishindwa kufanya, maelezo ya humu sehemu kubwa yametoka kwenye mahojiano yaliyofanyika kati ya Maxcence Melo na wadau humu jamvini na articles zilizopo mtandaoni.

JamiiForums Wikipedia
 
Back
Top Bottom