jamiiforum imetengenezwa kwa tool gani?

Status
Not open for further replies.

Dishunga

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
276
58
ndugu zang hebu nisaidien hii website ya jamiiforum imetengenezwa na tools gan?coz mi najua joomla,wordpress etc.nijuzen jaman wana IT
 
mimi ni ngwini, subiri waje aking C6 watakuambia
 
Last edited by a moderator:
Du mm sijakelewa ngoja waje kibba M Musht, Maxence au hata invisible labda upo UWT au inataka kui-attack tukose wote
 
hahahahahhahah ebwana jf imetengenezwa na concete,spana,koleo na nyundo ....embu tungoje wataalamu waje wakuu!!!
 
Ziko tools nyingi sana wanazoweza kuwa wametumia, ni vigumu ku-predict kwa kufungua tu kurasa zao.
If you want to learn how to create a forum just google!!
I have mine and working but not yet uploaded/launched.
 
New world order, a world of concepts and ideas, ccm nyundo na jembe basi tena!
 
jamiiforums imeundwa kwa kutumia bulletin board script inayopewa nguvu kwa kutumia mfumo wa php...

script yenyewe ni vBulletin, moja bulletin boards ambazo ni most secure na ghali sana karibu $350/license coz kila kitu wameki hash kwa kutumia mfumo tofauti na md5 hivyo kuwa vigumu kuhack mitandao yenye vBulletin japo kuna wakati rafiki yangu alijaribu na kupenya eneo la admin japo hakuweza kufika ndani..

cc Baba V Dishunga Ukwaju
 
Last edited by a moderator:
Tools? Anyway wataalamu wamekuelewa unamaanisha nini hata hivyo..........vBulletin
 
hii naona php nyingi sana katika vitu vyake ambapo wanaIT wengi wasio creative huwa hawaipendi hii language balaa..
 
Sijui kwanini JF inakuwa na moderator wa kitu gani? Wacha watu wajinafasi. Kima mods hamna kazi nyingine?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom