jamiiforum imetengenezwa kwa tool gani?

Status
Not open for further replies.
Lakini nimeona forum nyingi ambazo zimetumia vbulletin, ni lazima vbulletin waache signature yao kwenye footer hata kama ni paid, inakuwaje hii jf haina hiyo signature?

copyright removal ni $170. Unaruhusiwa kuondoa ukinunua copyright removal permit
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom