James Millya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha ajivua GAMBA akimbilia Chadema

kwani huyu millya amehama na wadhifa wake? i.e atakuwa mwenyekiti wa vijana wa chadema mkoa wa arusha? acha woga uliopitiliza, amekaribishwa kuwa mwanachama wa chadema, millya ni mtaji pia kwa chadema, kwani anafahamu mafyongo mengi sana ya ccm, anafahamu mikakati mingi sana ya ccm taifa towards arusha ambayo kuibadili inahitaji uwe na collin powell watatu wakuplanie hiyo vita. HAKUNA WANACHOWEZA KUFANYA CCM KUWA-WIN WANA ARUSHA THEIR HEARTS AND MINDS. karibu chamani millya onyesha uaminifu kwa taifa lako.

1. Nafurahi kuw muoga kwa mambo ya msingi na nyeti...Siku zote waoga huonyesha makaburi ya mashujaa wasiochukua tahadhari
2. Kama Millya ameingia kama mkakati wa CCM, hata hayo mafyongo ya CCM anayojua huna hakika atayaweka wazi
3. Hata kama ameichukia CCM, kumbuka Millya siku zote amekuwa akifanya kazi kwa maslahi ya EL na si ya CCM. Awe CCM au CDM hilo halijabadilika na ndio maana alitumia radio ya EL kutangaza kutoka CCM. EL ni hatari kuliko CCM kwa CDM
4. Wakati CCM hawawezi kufanya lolote ku-win hearts and minds za watu wa Arusha...EL ameweza kwa kumtumia Millya na wewe ni mmojawapo wa waliokuwa winned over. Chadema yenye watu wa EL haina tofauti na CCM tunayoipiga vita
 
Millya amepigwa vita sana pale arusha na mfano ni Mary Chatanda ambaye ndiye architect wa kuharibu na kuvuruga uchaguzi wa meya na baraza la madiwani la Arusha ..... tena na wengi ni top ccm leaders kama nape ...... haiwezekani leo Millya with all his top layer role atumike underground ..... naamini hii ni nafsi na dhamira ya Ole Millya ..... nilimtazama Ole Millya alivyokuwa anatangaza kwenye press hakika alikuwa anajiamini, akiwa bila wasiwasi na akionesha kuwa amejaa na uhuru aliyokuwaameukosa katika nyanja za siasa kwa muda mrefu

angalizo lazima tuelewe na tuwe makini kwamba kuna wanamapindizi kama Raila Odinga huwa wanatumia opportunities zozote zile pamoja na ku-sacrifise nafsi zao bila woga ikiwamo hata kuhama chama au kuanzisha chama kipya ili kuleta mabadiliko

nampongeza James Ole Millya kwani amefanya maamuzi bila kurudi nyuma ...... hii ninalinganisha na unafiki na ukondoo walioufanya Nape na six pale walipoanzisha CCJ kwa maamuzi yao halafu wakafyata mkia

Ole Millya ni Shujaa katika siasa za karne mpya ..... tumuunge mkono

Historia ya Millya haimtakasi hivyo...
Hata kama amepigwa vita CCM akaamua kuondoka bado mahusiano yake na EL yapo pale pale na akiwa CDM ataendeleza kufanya kazi kwa maslahi ya EL
Pale Mwembeyanga CDM walimjumuisha EL kwenye list of shame na kumbukumbu zinaonyesha hawajafuta jina lake...leo wakianza kupokea mawakala wa EL CDM itakuwa inakula matapishi yake.
CCM iliyopendwa na kuaminiwa na wa-Tanzania iliasisiwa na JK Nyerere
CCM inayochukiwa na kutiliwa shaka mmoja wa waasisi wake ni EL...na Millya ni mmoja wa mawakala wa EL
Hii imani yenu na pongezi kwa Millya ni za kutiliwa shaka
 
Ila ninachojua ni kwamba ana hamu sana ya kuhamia CDM maana mkoa mzima wa Arusha 2015 utakuwa ni CDM ili kuipa hadhi Arusha kuwa mmakao makuu ya CDM na [pia kama ngome kuu ya upinzani Tanzania. EL kuja CDM si kosa kama atatubu na nusu ya mali zake awape CDM hapo itakuwa sawa ili mali hizo zitumike na chama kuchimba visima, maji, umeme na ajira kwa wamama na vijana nchini. Akiomba apokelewe jamani kwa tahadhari lakini
 
kwani huyu millya amehama na wadhifa wake? i.e atakuwa mwenyekiti wa vijana wa chadema mkoa wa arusha? acha woga uliopitiliza, amekaribishwa kuwa mwanachama wa chadema, millya ni mtaji pia kwa chadema, kwani anafahamu mafyongo mengi sana ya ccm, anafahamu mikakati mingi sana ya ccm taifa towards arusha ambayo kuibadili inahitaji uwe na collin powell watatu wakuplanie hiyo vita. HAKUNA WANACHOWEZA KUFANYA CCM KUWA-WIN WANA ARUSHA THEIR HEARTS AND MINDS. karibu chamani millya onyesha uaminifu kwa taifa lako.

Halafu wakati mnatoa pongezi zenu na kutushutumu tunaojaribu kuchukua tahadhari, kumbukeni historia ya watu waliohamia upinzani kwa mbwembwe na leo wanawatukana... Juzi Arumeru Wassira alikuwa anatukana wapinzani... Wassira aliyeingia NCCR Mageuzi kwa mbwembwe kiasi cha kuaminiwa hadi kuwa mbunge wa Bunda.
Iruhusuni historia imulike intellectual judgements zenu tafadhali
 
Taarifa za kiintellegensia zimehakiki kuwa aliekuwa m/kiti uvccm na kutimkia chadema hana TATIZO na amehamia CHADEMA kwa uchungu na Uzalemdo wa nchi hii alionao.

source.over
:) :) :) :) :)
 
cdm a peaceful home of many tanzanians,free minds and reluxed politics.kunahitaji moyo kuchangia hoja za gilba[wabunge ambao ni wachungaji wa ccm hutetea uongo as if hakuna mungu wanaye mhubiri].james milya ana mungu ndiyo maana amejiunga na kundi la mungu.

CDM imekua chama cha kidini kwa hiyo? kundi la Mungu likiongozwa na mdini Mtei, na padri SLaa au unataka tuelewe vipi?
 
Olemilya ndie anayejua dhamira yake, apewe kazi ngumu kama ya Lema Kumpima. Azunguke nchi nzima kuhamasisha wana CCM kufuata nyayo.
 
Mmmmh!Hata kama katumwa hatakuta lolote baya,zaidi atakuwa ameenda Chadema kujiua zaidi!Akitaka akue awe ameingia kweli kidhamira yakuwakomboa wa tz!Laasivyo atakuwa kama kibuda ndani ya CDM!
 
Mtawatambua kwa matendo na matunda yao,kama ni mamluki ataonekana tu kama Shibuda au Tumbo,ila kwa vile ni kijana anaweza kubadilika na kukop na sphere ya CDM
 
My worry is asije akawa SHIBUDA mwingine ndani ya CDM! Shibuda anaendelea kuisumbua na anataendelea kuwa kirusi iwapo atapata support ya magamba wanaokuja CDM!
 
Mm mbona umekuja ghafla ki hivyo? Je wewe nani?unashughulika na kukusanya maamuzi ya watu binafsi?eti mpaka asubuhi hii hajakuletea kusudio kama hilo??kweli mijitu mingine inapenda sifa za
kijinga



Ha ha ha ha,Kweli Mkuu,hii ni kutaka misifa ya Kijinga!!
 
Back
Top Bottom