James Millya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha ajivua GAMBA akimbilia Chadema

Ni watu wachache sana walio ndani ya ccm wanaoweza kufikiri na kujua kuwa anguko la chama chao lipo karibu. Hameni huko, msisubiri hadi chama kiwafie mikononi mwenu, waachieni hao hao wanaorithishana uongozi akina J.K na watoto zao.

Pongezi kwako Mallya kwa kuwaachia chama chao cha magamba.
 
Nyati aliyejeruhiwa ni hatari sana. Ole Milia kama unataka itikadi na sera karibu CHADEMA. Kama ni ubunge usidhani tuna upungufu wa wagombea baba! Umekuja na dhamira yako ya ubunge na unadhani kuna majuha wengi huku kwetu na unaamini unaweza kuwatumia Kama Ngazi ya kuufikia ubunge. You are wrong brother. Time to find another profession if life is what matters most to you. In CHADEMA WE BELIEVE ON IMPOSSIBILITY ON LYING ALL THE PEOPLE ALL THE TIME!
 
Kweli ccm
kinaelekea kaburini
mtu yoyote akisema ccm
ni majambazi
mnamuona adui! Kwani
ni uwongo!
 
pumbavu kabisa huyo anajifanya haregret wakati kinamuuma, mbona hawajawahi kumtangaza Milya kama naye ni mmoja kati ya wakuvuliwa gamba?

Katibu Mkuu wa UVCCM Martin Shigella amesema kuwa kujiondoa kwa James Milya CCM na kuhamia Chadema ni kutekeleza maagizo ya NEC ya CCM iliyowataka wanachama wote wasiofuata maadili ndani ya CCM kujivua gamba. Hivyo anampongeza kwa kutekeleza kikamilifu maagizo ya NEC. Source> TBC Taifa

MY TAKE: Hawa CCM inaonekana kila mtu na lwake maana kila mmoja ana msimamo wake kuhusu hili. Nape hajawahi kusema kama Millya naye aliyakiwa kuvuliwa gamba kama akina EL, RA na AC
 
Umalaya ni umalaya tu hata huu wa wanasiasa wetu,
hasa pale wanaposhindwa kutimiza ndoto zao binafsi!
Cdm wapokee, ila wakae mbali na jiko!
 
TULIANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU.
Huu msemo naona umeanza kuwa misused! Endeleeni tu kuropoka ropoka huu msemo uone Mungu atakavyoteremsha mapigo na mafanikio yote hayo yakateketea mithili ya mshumaa kwenye tanuri.
Labda kama mnamsema mungu wa nyota na mwezi, kama ni Mungu wa UTATU aliyetuumba sote, tuache huu mzaha kabisa
 
CCM is not used to Majembe... Milya ni mashine hivyo hawezi kufit kwenye agenda ya CCM

Sintashangaa vijana kama akina Mpoki, Gambo, na hata January kuhamia CHADEMA

List ni ndefu, utakuta hata Lusinde na Nape nao wanatamani kuhamia CDM, basi tu
 
Wanaohama ccm akili zao hakuna hata wakihama wanachama wote ccm itakuwa kwakuwa ilikuwepo kabla ya vichama vyote viduchu vilivyopo!
Hata Gaddafi alikuwa mbishi kama wewe hadi pale alipokutwa na yakumkuta ndo akaamini. Moto huu wa mabadiliko sio wa mabua!!!
 
James ni potential i know him he was my college mate anafaa sana coz anapampika na anapenda sana sifa kwa wananchi anafaa he is potential
y Tafazal Sana huwa CDM hatupendi masifa pls tuko zaidi kuelimisha jamii na asilogwe akaleta hio misifa Cdm tutamfanya hamma
 
Huu msemo naona umeanza kuwa misused! Endeleeni tu kuropoka ropoka huu msemo uone Mungu atakavyoteremsha mapigo na mafanikio yote hayo yakateketea mithili ya mshumaa kwenye tanuri.
Labda kama mnamsema mungu wa nyota na mwezi, kama ni Mungu wa UTATU aliyetuumba sote, tuache huu mzaha kabisa
Unahitaji qualifications gani kusema huo msemo??? Ni nani hasa anahitajika kutaja neno Mungu??Kuna kosa gani limefanywa hapo aisee??Mbona unatupiga mkwara???Hivi vitisho vitisho ndo vimefanya waumini wengi kuacha kwenda makanisani, We hubiri upendo mambo yataenda tu. Mambo ya kuongezeana mastress na vitisho kwenye mambo ya kiimani huko dunia ya kwanza yalishaishaga, bado hapa kwetu tu. Tubadilike wapaka mafuta wa bwana, mikwara haisaidii katika kujenga imani.
 
James ni potential i know him he was my college mate anafaa sana coz anapampika na anapenda sana sifa kwa wananchi anafaa he is potential
y Tafazal Sana huwa CDM hatupendi masifa pls tuko zaidi kuelimisha jamii na asilogwe akaleta hio misifa Cdm tutamfanya hamma
 
kama kamanda millya kathubutu.........basi naamin baba mkwe nae hayupo mbali!!!!!!!!!!!
 
usitie shaka mkuu, Zitto na mie tumekuwa controlled,itakuwa Milya!!
Haha ..sasa aliyewatuma hajanza waona mmekuwa liabilities?Au accounting ni zero,au ni kutojua value ya hela? teh teh. JF mnatupa ukweli na raha kwa pamoja.
 
Back
Top Bottom