James Millya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha ajivua GAMBA akimbilia Chadema

Nape ni mnafiki sana, anajua kazi waliyomtuma Milya kufanya baada ya kuona hali ya SSM kisiasa Arusha na mikoa inayoizunguka inazidi kuwa mbaya. System inajua kuhceza karata kisawasawa hivyo msimuamini sana NAPE. Huwezi kuniambia kijana wa LOWASA anayempenda na kumsupport kama wa kuzaa eti leo anataka aondoke, thubutu. Kuna a very big hidden agenda behind this move. Wait and see, and always CDM be careful to avoid regrets as it did to SHIBUDA. Tumtumie tu kutuvulia samaki kabla hatujampa majukumu mazito na aanzie kwa mfadhili wake Mkuu kule Mondulu, kwa Ole Sendeka before moving on to Manyara yote na ka majimbo mengine AR yanoyshikiliwa na SSM.
 
Mkiti wa CDM Freeman Mbowe amesema CDM kinamkaribisha Millya kwa mikono miwili kwani ni mwanasiasa safi na CDM hawana historia chafu inayomhusu James Millya.

Mbowe amesema watashirikiana kikamilifu na Millya na kama mwanachama watampatia majukumu ya kuharakisha ukombozi wa Taifa hili.

Mbowe amesema ni uamuzi wa kishujaa ambao kila mwanademokrasia wa kweli anapaswa kuufurahia.Amesema anamfahamu vizuri Millya ni mpambanaji na mpiganaji hasa.

Mbowe pia amesema anawakaribisha wale wanachama wote wa CCM wanaojijua ni wasafi waje CDM kushiriki ukombozi wa Taifa lao.
Source:TBC Habari
 
Hatimae Maiti imejamba.... CCM imeanza kufa rasmi.

Karibu dogo na anza kuzunguka nchi nzima ujisafishe huku ukiwaeleza watanzania maasi ya CCM
 
Sina imani naye. Historia inamhukumu. Wataondoka wengi sana huko CCM. Walikuwa wapi siku zote wasitende haki? Wanaona sasa maji yamewafika shingoni ndio wanaanza kung'atuka? Ole Millya aone aibu kumnukuu Mwalimu!

MBOWE: Nimefurahi, sina uchafu ninaojua kuhusu Millya, na ni mwanasiasa mzoefu. Source TBC1.
 
TBC1 Wamecover hili Tukio? mmmmmmh......au mchanganya picha kakosea tena Kama ile ya Mkapa kuwa Nassari?Mpaka 2014 mavuno yatakuwa mengi sana!
 
Yeye mwenyewe Nape ni mzigo kwa chama bila yeye kujua kelele zake za kujivua gamba ziko wapi masikini wa kifikra yeye! Yeye hana usafi wowote wa kuweza mnyooshea kidole Milya wala MWANACHAMA yeyote ndani ya CCM. Itoshe kusema aache kuuza sura kwa watanzania cause they are fed up with him.Na hawako tayari kuendelea ku entertain upumbavu wake na chama chake cha mapinduzi CCM!
 
TBC1 Wamecover hili Tukio? mmmmmmh......au mchanganya picha kakosea tena Kama ile ya Mkapa kuwa Nassari?Mpaka 2014 mavuno yatakuwa mengi sana!

Wameona aibu wakalitangaza mkuu.Tena kwa mbwembwe tu...
 
Ila inabidi kama bado ana mavumbi na mabaki ya ufisadi ayapukute kabisa kabla ya kukanyaga zulia la Chadema. Karibu kijana katika Mapambano ya kweli!
 
Back
Top Bottom