James Mbatia aamua kufuta kesi dhidi ya Halima Mdee

Hongera kwa maamuzi mazuri kama ni kweli, hata hivyo kesi zenyewe haziishagi miaka na miaka uamuzi hautolewi hadi machungu yanamuisha mshitaki
 
Serikali ya ccm haina pesa ya kuendesha kesi ingawa makamba aliamuru wana ccm wote walioshindwa wafungue kesi
 
hizi ni siasa za maji taka, leo mbatia kafuta kesi dhidi ya mdee.

Source: East afrika radio saa 10 jioni

serikali haina pesa za kuendeshea kesi za uchaguzi ndiyo. Mbatia baada ya kugundua kwamba hiyo kesi na zingine nyingi hazitaweza kutolewa maamuzi mpaka uchaguzi ujao, then akaamua kufuta kwa ajili ya kuhadaa wananchi. Kumbukeni kauli ya jaji wa mahakama mwezi december 2011, kwamba waliomba around tsh. 3 bilion kwa ajili ya kuendeshea kesi za uchaguzi lkn wmeishia kupewa tu tsa. Mill 300 ambazo hazijatosheleza kuendeshea hata kesi 4 tu. Hivyo, ni dhairi kabisa mbatia ameona bora afute kesi ili ajijengee heshima mbele ya wale wasioelewa kinachoendelea serikalini.

Ninakuambia na hili; kwamba hata kafulila na hamad rashid kesi zitafika mpaka uchaguzi ujao na hakuna pesa za kufanyia uchaguzi upya. Ndiyo maana niliwaambia kwamba ccm hawawezi kumfukuza ubunge hamisi kigwangala, kwani hata pesa ya uchaguzi ni kazi kubwa sana serikalini kwa sasa.

Hata wale wanaozidi kupoteza resource zao kuendeshea kesi za uchaguzi, mimi nawaonea huruma kwani hakuna pesa serikalini; hivyo kesi zitapigwa tarehe bila kutolewa maamuzi mpaka uchaguzi ujao.
 
mbatia anavyopenda umwinyi akubali kufuta kesi aliyokua anaelekea kushinda? sidhani labda uniambie alikua anaelekea kushindwa.

kesi yenyewe ndio kwanza inatajwa tu alikuwa anaelekea kushinda nini?? acha udaku!!
 
serikali haina pesa za kuendeshea kesi za uchaguzi ndiyo. Mbatia baada ya kugundua kwamba hiyo kesi na zingine nyingi hazitaweza kutolewa maamuzi mpaka uchaguzi ujao, then akaamua kufuta kwa ajili ya kuhadaa wananchi. Kumbukeni kauli ya jaji wa mahakama mwezi december 2011, kwamba waliomba around tsh. 3 bilion kwa ajili ya kuendeshea kesi za uchaguzi lkn wmeishia kupewa tu tsa. Mill 300 ambazo hazijatosheleza kuendeshea hata kesi 4 tu. Hivyo, ni dhairi kabisa mbatia ameona bora afute kesi ili ajijengee heshima mbele ya wale wasioelewa kinachoendelea serikalini.

Ninakuambia na hili; kwamba hata kafulila na hamad rashid kesi zitafika mpaka uchaguzi ujao na hakuna pesa za kufanyia uchaguzi upya. Ndiyo maana niliwaambia kwamba ccm hawawezi kumfukuza ubunge hamisi kigwangala, kwani hata pesa ya uchaguzi ni kazi kubwa sana serikalini kwa sasa.

Hata wale wanaozidi kupoteza resource zao kuendeshea kesi za uchaguzi, mimi nawaonea huruma kwani hakuna pesa serikalini; hivyo kesi zitapigwa tarehe bila kutolewa maamuzi mpaka uchaguzi ujao.

Sio hivyo unavyodai. Suala la kufutwa kwa kesi ni matokeo ya maelewano kati ya CHADEMA na NCCR, ambapo tofauti zote zimezikwa.
 
Kwenye ndoa ya ccm vs CUF ianjulikana nanni 'me' na nan 'ke' sasa hapo nccr na chadema nan anavalishwa shela?
 
Pongezi ziende kwa kafulila aliyemtia jamba jamba mbatia, Hata km wamemfukuza ila wanakawe na cdm tumenufaika na mawazo yake na ujasiri
 
Wadau, nikiwa kama mhusika mkuu kwenye kesi. Napenda kuwahakikishia wanajamii pamoja na watanzania kwa ujumla kwamba Uamuzi wa mhe Mbatia wa kiuifuta kesi dhidi yangu ni dhamira yake njema ya kulinda maslahi mapana ya upinzani nchini. Nimesoma comments za wanajamii kadhaa ,baadhi yao wakifikiria labda kuna 'chochote kilichotolewa''ili kufanikisha kufutwa kwa kesi hiyo . Niwahakikishieni kwamba hakuna kilichotolewa zaidi ya nia njema ya pande zote mbili. Kwa waliokuwa wakijipanga kukomboa jimbo kwa gharama yoyote imekula kwao!

Najua mengi yatasemwa...lakini haiwezekani kuzuia binadamu kuzungumza. Nichukue fursa hii kuwashukuru kwa dhati timu ya CHADEMA (chama changu) na NCCR MAGEUZI kwa kulifanikisha hili.
 
Nikiweka utanzania mbele nawapongeza kwa muafaka uliofikiwa kwa vile umeokoa matumizi ya fedha za walipa kodi kupitia CHAGUZI ndogo. Sasa chapa kazi utumailizie kero wana Kawe
 
Wadau, nikiwa kama mhusika mkuu kwenye kesi. Napenda kuwahakikishia wanajamii pamoja na watanzania kwa ujumla kwamba Uamuzi wa mhe Mbatia wa kiuifuta kesi dhidi yangu ni dhamira yake njema ya kulinda maslahi mapana ya upinzani nchini. Nimesoma comments za wanajamii kadhaa ,baadhi yao wakifikiria labda kuna 'chochote kilichotolewa''ili kufanikisha kufutwa kwa kesi hiyo . Niwahakikishieni kwamba hakuna kilichotolewa zaidi ya nia njema ya pande zote mbili. Kwa waliokuwa wakijipanga kukomboa jimbo kwa gharama yoyote imekula kwao!

Najua mengi yatasemwa...lakini haiwezekani kuzuia binadamu kuzungumza. Nichukue fursa hii kuwashukuru kwa dhati timu ya CHADEMA (chama changu) na NCCR MAGEUZI kwa kulifanikisha hili.
Mheshimiwa karibu sana JF, na hongera kwa tukio hili.
 
Hongela viongozi wa CDM na NCCR kwa kuonyesha ukomavu wa kisiasa na upeo wa haliya juu wa kufikiri hasa zaidi Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi kwa hatua hiyo makini!!!!! Kupitia mchango huu namuomba Mwenyekiti Mbatia arudishe moyo wake wa huruma amsamehe kijana Mbunge wa NCCR Mheshimiwa David Kafulira ili chama kizidi kuimarika badala ya kukibomoa!!! Mheshimiwa Halima tafadhari ni vipi kiwanda chetu cha nyama cha Tanganyika Parkers, kuna utaratibu gani wa kukiendeleza????

Wadau, nikiwa kama mhusika mkuu kwenye kesi. Napenda kuwahakikishia wanajamii pamoja na watanzania kwa ujumla kwamba Uamuzi wa mhe Mbatia wa kiuifuta kesi dhidi yangu ni dhamira yake njema ya kulinda maslahi mapana ya upinzani nchini. Nimesoma comments za wanajamii kadhaa ,baadhi yao wakifikiria labda kuna 'chochote kilichotolewa''ili kufanikisha kufutwa kwa kesi hiyo . Niwahakikishieni kwamba hakuna kilichotolewa zaidi ya nia njema ya pande zote mbili. Kwa waliokuwa wakijipanga kukomboa jimbo kwa gharama yoyote imekula kwao!

Najua mengi yatasemwa...lakini haiwezekani kuzuia binadamu kuzungumza. Nichukue fursa hii kuwashukuru kwa dhati timu ya CHADEMA (chama changu) na NCCR MAGEUZI kwa kulifanikisha hili.

nasikia uliona ubunge utaukosa na kule viti maalumu vishajaaa kweli ubunge mtamu
 
Wadau, nikiwa kama mhusika mkuu kwenye kesi. Napenda kuwahakikishia wanajamii pamoja na watanzania kwa ujumla kwamba Uamuzi wa mhe Mbatia wa kiuifuta kesi dhidi yangu ni dhamira yake njema ya kulinda maslahi mapana ya upinzani nchini. Nimesoma comments za wanajamii kadhaa ,baadhi yao wakifikiria labda kuna 'chochote kilichotolewa''ili kufanikisha kufutwa kwa kesi hiyo . Niwahakikishieni kwamba hakuna kilichotolewa zaidi ya nia njema ya pande zote mbili. Kwa waliokuwa wakijipanga kukomboa jimbo kwa gharama yoyote imekula kwao!

Najua mengi yatasemwa...lakini haiwezekani kuzuia binadamu kuzungumza. Nichukue fursa hii kuwashukuru kwa dhati timu ya CHADEMA (chama changu) na NCCR MAGEUZI kwa kulifanikisha hili.

Mhh heri mimi sijasema
 
kUMBE KWELI HILI JAMAA BOGA. KWANZA CDM WANATAKA KULIPELEKA WAPI HILI KAFIRI LA CCM? LITATUHARIBIA CHAMA. WAKAE NALO MBALI KAMA UKOMA.
 
Wadau, nikiwa kama mhusika mkuu kwenye kesi. Napenda kuwahakikishia wanajamii pamoja na watanzania kwa ujumla kwamba Uamuzi wa mhe Mbatia wa kiuifuta kesi dhidi yangu ni dhamira yake njema ya kulinda maslahi mapana ya upinzani nchini. Nimesoma comments za wanajamii kadhaa ,baadhi yao wakifikiria labda kuna 'chochote kilichotolewa''ili kufanikisha kufutwa kwa kesi hiyo . Niwahakikishieni kwamba hakuna kilichotolewa zaidi ya nia njema ya pande zote mbili. Kwa waliokuwa wakijipanga kukomboa jimbo kwa gharama yoyote imekula kwao!

Najua mengi yatasemwa...lakini haiwezekani kuzuia binadamu kuzungumza. Nichukue fursa hii kuwashukuru kwa dhati timu ya CHADEMA (chama changu) na NCCR MAGEUZI kwa kulifanikisha hili.

Hongera na karibu sana hapa JF kisima cha hekima.
 
Back
Top Bottom