Mkuu, tunashukuru sana kwa Bandiko lako murua, nakubaliana na wewe wasomi wengi Tanzania ni wakiristo na bahati ingine kubwa wamepata wasomi wa Kikiristo ni kuongeza idara zote za serikali wao ndio watendaji wakubwa na ndio wameajiriwa wengi kutokana na elimu zao walizokuwa nazo.Ingekuwa vizuri kama ungetueleza hawo wasomi wa Kikiristo wamelisaidia vipi ili Taifa letu kwa miaka yote hii kutoka kwenye umasikini wa kutupwa duniani. Kwa mujibu wa data za World bank na IMF. Tanzania ipo kwenye nchi 20 duniani kwa umasikini! Nchi yetu imeingia kwenye mikataba mingi mibovu na makampuni ya Nje waliofanya mikataba hiyo ni wasomi wa Kikiristo ushahidi upo, nasubiri jibu mkuu
Mikoa yenye umaskini mkubwa zaidi ni ile yenye waislamu wengi ukiondoa Dar ambapo wakristu ndio walio injini ya maendeleo. wazaramo wao wanazidi kuuza ardhi yao na kukimbia mbali zaidi ya jiji Kisarawe, kKibiti mpaka watatupwa nje kabisa.
tatizo la maendeo duni ya nchi hii sio wakristo bali hasa ni waislamu wengi ambao hawapendi kusoma wala kufanya kazi wakisubiri upendeleo na hiki ndicho chanzo cha kuona wakristo ni wabaya.