Jambo Usilolijua: Rais Mwinyi - Nyerere hakuwa Mdini wala Mkabila

Mkuu, tunashukuru sana kwa Bandiko lako murua, nakubaliana na wewe wasomi wengi Tanzania ni wakiristo na bahati ingine kubwa wamepata wasomi wa Kikiristo ni kuongeza idara zote za serikali wao ndio watendaji wakubwa na ndio wameajiriwa wengi kutokana na elimu zao walizokuwa nazo.Ingekuwa vizuri kama ungetueleza hawo wasomi wa Kikiristo wamelisaidia vipi ili Taifa letu kwa miaka yote hii kutoka kwenye umasikini wa kutupwa duniani. Kwa mujibu wa data za World bank na IMF. Tanzania ipo kwenye nchi 20 duniani kwa umasikini! Nchi yetu imeingia kwenye mikataba mingi mibovu na makampuni ya Nje waliofanya mikataba hiyo ni wasomi wa Kikiristo ushahidi upo, nasubiri jibu mkuu

Mikoa yenye umaskini mkubwa zaidi ni ile yenye waislamu wengi ukiondoa Dar ambapo wakristu ndio walio injini ya maendeleo. wazaramo wao wanazidi kuuza ardhi yao na kukimbia mbali zaidi ya jiji Kisarawe, kKibiti mpaka watatupwa nje kabisa.

tatizo la maendeo duni ya nchi hii sio wakristo bali hasa ni waislamu wengi ambao hawapendi kusoma wala kufanya kazi wakisubiri upendeleo na hiki ndicho chanzo cha kuona wakristo ni wabaya.
 
Mwinyi hana credibility ya kuusemea udini! Au hukumbuki alivyokula kofi kwa mambo ya dini?

Wewe Mwanakijiji unakaanga mbuyu uwache wenye meno watafune.

Nakisia kitu fulani kuhusu wewe, lazima utakuwa ni mtu mfupi kuliko kawaida.

watu bwana, badala ya kujadili hoja unaleta attacks kwa mtu, huna tofauti na watangazaji wa comedy..so stupid
 
Mwinyi hana credibility ya kuusemea udini! Au hukumbuki alivyokula kofi kwa mambo ya dini?

Wewe Mwanakijiji unakaanga mbuyu uwache wenye meno watafune.

Nakisia kitu fulani kuhusu wewe, lazima utakuwa ni mtu mfupi kuliko kawaida.

Ningependa sana nikuone in Person.....
 
Mikoa yenye umaskini mkubwa zaidi ni ile yenye waislamu wengi ukiondoa Dar ambapo wakristu ndio walio injini ya maendeleo. wazaramo wao wanazidi kuuza ardhi yao na kukimbia mbali zaidi ya jiji Kisarawe, kKibiti mpaka watatupwa nje kabisa.

tatizo la maendeo duni ya nchi hii sio wakristo bali hasa ni waislamu wengi ambao hawapendi kusoma wala kufanya kazi wakisubiri upendeleo na hiki ndicho chanzo cha kuona wakristo ni wabaya.

unaushahidi na maneno yako? una takwimu za nchi hii kuhusu nani dini gani maskin dini gan sio maskin, au ushabiki wa dini tu usio na msingi, huna hoja unaleta point za kishamba, watu kama nyie ndo mnachochea udini, useless kabisa, asshole
 
Tatizo nyakati ndio zinahukumu nikweli nyerere alikuwa mdini lkn hakuwa direct alikuwa anang'ata huku akipulizia kwani ktk mambo meng alikuwa akiwakandamiza muslim kisa walikuwa hawajui ngeli. angalia uwongozi wake na watu wakaribu wake. makamu wake (mfaume kiingereza kajua mwaka 2000 unadhani kwa muda ule alikuwa si anapelekeshwa2) pili jiulize kwanini namba zilianzishwa badala ya majina necta? na mbadilishaji alikuwa huyo mwinyi. tatu baba zetu walidiriki kubadilisha majina ili wasonge mbele na walio bakia na islamic names wali ambulia patupu. huyo presdent alisomea cristian school. but jiulize kwanini hakubadilisha name nyerere anajua na wazee walio gombea uhuru kwa taarifa yako nyerere alauhujumu uislam. na bado sera zanaendelea mpaka leo ndio maana pia unaona sasa hata ktk swala la katiba walivyotaka liende kiuni ila walipo ona muslim wamechacha maa baraza la maaskofu halitaki mpya wanataka ile ile ya bwana wao. so mpaka hapo unadhani nijambo gani lilikuwepo na lipo?ukiona cmba kalala usimvute sharubu

Mi nadhani wewe hujui hata kinachoendelea kwenye nchii hii. Unasema baraza la maaskofu wanataka katiba hii indelee wakati wao ndio wako mstari wa mbele kushinikiza katiba mpya kwa kupitia elimu ya uraia!

sasa kama mzee Kawawa alijifunza kiingereza mwaka 2000 huko nyuma aliuwa ajui kiingereza huoni kwamba alibebwa tu asingepaswa kuwa waziri mkuu hata kidongo nyerere alimbeba tu. lakini usimlaumu nyrere kwa elimu duni ya Kawawa ni ajabu na kichekesho.

kutumia namba badala ya majina ni mfumo wa zamani na upo duniani kote na ndio "standard".

Tafadhali jifunze kuona mambo kwa upana itakusaidia zaidi badala ya kulalamika tu mkuu. ukweli ni ukweli bana
 
Hapo umesema, serikali inaongozwa na chama cha mapinduzi...safu ya juu yote inaongozwa na waislam, mbili, safu ya juu ya serilkali ya sasa nayo inaongozwa na waislamu, tuwaulize wao maana wakati wa BWM taifa lilikuwa na idadi ndogo ya maskini kuliko sasa, kumeongezeka maskini zaidi ya milioni 2 wakati serikali na chama vinaongozwa na ccm na JMK!
Mkuu.Ebu tugande kwenye hoja yako ya usomi, kwa hiyo kama safu ya viongozi wa CCM ni Waislam, wasomi wa Kikristo ambao ni watendaji wa serikali wanapata Excuse? Tuangalie hawa wasomi wakubwa wengine wametoka kwenye hizo shule ulizozitaja wamelisaidiaje taifa letu kwa uchache.1. Andrew Chenge2. Daud Balali3. Prof Mahalu4. Amatusi Liumba5. Benno Ndulu6. Nimrod Mkono7. Edward Lowassa8. Basil Mramba9. Daniel Yona.Hawa ni baadhi ya wasomi wa Kikiristo unaweza kutuambia wamelisaidiaje taifa letu kutokana usomi wao!Mafisadi wakubwa Tanzania ni wasomi wa Kikiristo sijui ili unalikubali kama utakuwa ulikubali utakuwa na upofu wa fikra
 
Mikoa yenye umaskini mkubwa zaidi ni ile yenye waislamu wengi ukiondoa Dar ambapo wakristu ndio walio injini ya maendeleo. wazaramo wao wanazidi kuuza ardhi yao na kukimbia mbali zaidi ya jiji Kisarawe, kKibiti mpaka watatupwa nje kabisa.

tatizo la maendeo duni ya nchi hii sio wakristo bali hasa ni waislamu wengi ambao hawapendi kusoma wala kufanya kazi wakisubiri upendeleo na hiki ndicho chanzo cha kuona wakristo ni wabaya.

Hujui kwamba Dar ni ya Waislamu. Ndiyo maana humuoni mtu wa Kanisa wenu Padre Slaa kuja huku. Kuna counter attack ambayo inamsubiri Slaa. JK, ataweka kila kitu sawa kwa Waislamu. Hiyo inequalities unayosema itapungua. Mwaka 2015 lazima Rais awe muislamu ili tuweke usawa wa utawala, kwa sababu Nyerere alitawala miaka 25 +10 ya mkatoliki Mkapa. Kwa hiyo Wakristo wametawala nchi miaka 35 lakini hamna maendeleo yoyote.
Mwinyi na JK, miaka 16 tayari na uchumi wa nchi umekua zaidi kuliko Mkapa na Nyerere miaka 35. Kwa hiyo mwaka 2015 lazima Rais awe muislamu ili nchi ipate kuendelea.
 
Mikoa yenye umaskini mkubwa zaidi ni ile yenye waislamu wengi ukiondoa Dar ambapo wakristu ndio walio injini ya maendeleo. wazaramo wao wanazidi kuuza ardhi yao na kukimbia mbali zaidi ya jiji Kisarawe, kKibiti mpaka watatupwa nje kabisa.tatizo la maendeo duni ya nchi hii sio wakristo bali hasa ni waislamu wengi ambao hawapendi kusoma wala kufanya kazi wakisubiri upendeleo na hiki ndicho chanzo cha kuona wakristo ni wabaya.
Mkuu, usije kishabiki zaidi njoo na fact! Ebu tutajie hiyo mikoa tujadili vizuri
 
Hujui kwamba Dar ni ya Waislamu. Ndiyo maana humuoni mtu wa Kanisa wenu Padre Slaa kuja huku. Kuna counter attack ambayo inamsubiri Slaa. JK, ataweka kila kitu sawa kwa Waislamu. Hiyo inequalities unayosema itapungua. Mwaka 2015 lazima Rais awe muislamu ili tuweke usawa wa utawala, kwa sababu Nyerere alitawala miaka 25 +10 ya mkatoliki Mkapa. Kwa hiyo Wakristo wametawala nchi miaka 35 lakini hamna maendeleo yoyote.
Mwinyi na JK, miaka 16 tayari na uchumi wa nchi umekua zaidi kuliko Mkapa na Nyerere miaka 35. Kwa hiyo mwaka 2015 lazima Rais awe muislamu ili nchi ipate kuendelea.

mh tutafika kweli bandugu? mimi na ukatoliki wangu mbona nilimkubali sana Salim Ahmed Salimu(pamoja na uislamu wake)? nadhani angeweza kuwa rais mzuri tu wa Tanzania. Huo urojo hapo juu ni straight from madrasa na ni kielelezo cha upungufu mkubwa wa elimu dunia! Sasa CCM wakisimamisha mgombea urais Katoliki au wa dhehebu lolote la kikristo mtafanyaje waislamu? mtahama chama? au ..eeh? au akishinda uraisi Slaa mtafanyaje?? Kweli kuna watanzania mambumbumbu!!
 
Padre Slaa Hatoshinda.
 
I respect Mwanakijiji as a person. I also appreciate his writing skills and the way he is articulate in most of his articles. His well researched and deeply thought about threads have endeared him to many. But there are times when I question his motive or what he intends to achieve when he introduces threads which touch upon emotive, delicate and divisive issues such as religion, while he very well knows or he ought to know that they are recipe for an uncessary friction. In the instant case, he has set up members of JF against each other for issues that he ought to have known that are delicate, emotive and therefore avoidable.

I find this to be very unfair to members, more so to these two 'warring' camps of believers who are otherwise friends and live in harmony. If he meant to shower praise to the deserving Mwalimu, as most of us do, he should have picked other topics which are not emotive and those that would provoke objective thinking. I feel that Mwanakijiji has grossly erred in his choice of topics and I smell a rat in his motive for introducing this issue. Mwanakijiji please, spare us of this unnecessary and nasty argument against each other, lest we strip you of the respect that most of us have bestowed on you!
 
Hujui kwamba Dar ni ya Waislamu. Ndiyo maana humuoni mtu wa Kanisa wenu Padre Slaa kuja huku. Kuna counter attack ambayo inamsubiri Slaa. JK, ataweka kila kitu sawa kwa Waislamu. Hiyo inequalities unayosema itapungua. Mwaka 2015 lazima Rais awe muislamu ili tuweke usawa wa utawala, kwa sababu Nyerere alitawala miaka 25 +10 ya mkatoliki Mkapa. Kwa hiyo Wakristo wametawala nchi miaka 35 lakini hamna maendeleo yoyote.
Mwinyi na JK, miaka 16 tayari na uchumi wa nchi umekua zaidi kuliko Mkapa na Nyerere miaka 35. Kwa hiyo mwaka 2015 lazima Rais awe muislamu ili nchi ipate kuendelea.

Mijadala ya jazba kama hii haitatufikisha mahali pema. Ni vizuri watu wakawa na subira na kukubali kutofautiana bila kugombana au kutukanana. Mimi nasisitiza kwamba hukumu dhidi ya dini hii au ile itatusahaulisha watanzania na matatizo ya kimsingi kuhusu mgawanyo wa rasilimali zetu, umaskini wetu na shida nyingine ambazo ka bahati mbaya hazichagui imani ya mtu. Huko mtaani kuna waumini wa madhehebu yote ambao wamepigika na tunaombana nauli na hela ya muhogo wa kuchoma kama kawaida. Humu ndani watu tunatukanana huku tukisahau kwamba shida zetu hazichagui. Mbona huku zilikoanzia dini wanaishi kwa kuheshimiana wakati huku tunapigana laana! Mungu ibariki Tanzania!
 
I respect Mwanakijiji as a person. I also appreciate his writing skills and the way he is articulate in most of his articles. His well researched and deeply thought about threads have endeared him to many. But there are times when I question his motive or what he intends to achieve when he introduces threads which touch upon emotive, delicate and divisive issues such as religion, while he very well knows or he ought to know that they are recipe for an uncessary friction. In the instant case, he has set up members of JF against each other for issues that he ought to have known that are delicate, emotive and therefore avoidable.

I find this to be very unfair to members, more so to these two 'warring' camps of believers who are otherwise friends and live in harmony. If he meant to shower praise to the deserving Mwalimu, as most of us do, he should have picked other topics which are not emotive and those that would provoke objective thinking. I feel that Mwanakijiji has grossly erred in his choice of topics and I smell a rat in his motive for introducing this issue. Mwanakijiji please, spare us of this unnecessary and nasty argument against each other, lest we strip you of the respect that most of us have bestowed on you!

Nyerere has been highly criticized and condemned lately because of what he did or did not do. It is only fair that people should hear the 'other side of the story'. If this thread worries you, then you have not heard what is on an infamous CD that is being circulated around or you have chosen to ignore. We have to come out of our shells and talk about these things in the open, we can't shy away forever.

I'm glad that Ole Sendeka MP has spoken about it this evening in the parliament. Keep it up Mwanakijiji, some people are not used to have their propaganda quashed with vivid examples.
 
Hujui kwamba Dar ni ya Waislamu. Ndiyo maana humuoni mtu wa Kanisa wenu Padre Slaa kuja huku. Kuna counter attack ambayo inamsubiri Slaa. JK, ataweka kila kitu sawa kwa Waislamu. Hiyo inequalities unayosema itapungua. Mwaka 2015 lazima Rais awe muislamu ili tuweke usawa wa utawala, kwa sababu Nyerere alitawala miaka 25 +10 ya mkatoliki Mkapa. Kwa hiyo Wakristo wametawala nchi miaka 35 lakini hamna maendeleo yoyote.
Mwinyi na JK, miaka 16 tayari na uchumi wa nchi umekua zaidi kuliko Mkapa na Nyerere miaka 35. Kwa hiyo mwaka 2015 lazima Rais awe muislamu ili nchi ipate kuendelea.

Mh hhhh, jamani, great thinkers wa JF....TUMEKWISHA. We ndugu yangu, ukiwaondoa wakristo wote na mali zao hapa Tanzania, uondoe makanisa yote na miradi yote ya kikristo utabaki na nini? Una habari KUWA SHEIKH MKUU WA MKOA WA MARA hana hata gari anatembea kwa mguu na sasa ni mzee sana. Maendeleo na utajiri wa waislamu uko wapi? Kama nyie matajiri mnunulie SHEIKH WA MKOA WA MARA GARI. Sijadili tena hii hoja mpaka SHEIKH WA MKOA MARA anunuliwe gari ndo ntajua mko serious.
 
Anayosema Foxy ni sahihi kabisa. Iwapo kiongozi Muislamu anasimama na kuipigia debe condom basi hyuo si katika uislamu tu hata ukristo hafai. Usimlamu Foxy kwa kusema ukweli.
Nyie mnataka muwakilishwe na moslem hardliners?Huyo mdada Faiza Foxiest hayuko right kwasababu issue hapa si kuwa nani ni muislam zaidi ya mwingine.Issue ya kuchapwa kibao ni masuala ya humo ndani ya dini....Ni issues za ndani humo kwenye dini yenu.Nje ya hapo,Alahaji Ali Hasssan Mwinyi ni mwislam!

Issue hapa ni kuhusiana na maslahi ya Taifa.Kwasababu Mwinyi alipigwa kibao na mujahedeen basi hana haki ya kusema mtu flani ie Mwalimu alikuwa hachukii uislam?Nyie sijui ni watu wa aina gani mmeibuka Tanzania.Ni sumu mbaya sana.Sasa ikija kwenye kutake credit mankofanya ki udini udini,manakuwa very quick kutoa pongezi na credits kwa viongozi waislam, mnadai kuwa marais waislam ie Mwinyi na JK ndo walioleta maendeleo.However on the other hand mnadai Mwinyi si mwislam credible kuzungumzia kuhusu haki za wasilam.Mkitufikisha pabaya kwenye Taifa letu hamtakosa risasi.Honestly.
 
Nyerere has been highly criticized and condemned lately because of what he did or did not do. It is only fair that people should hear the 'other side of the story'. If this thread worries you, then you have not heard what is on an infamous CD that is being circulated around or you have chosen to ignore. We have to come out of our shells and talk about these things in the open, we can't shy away forever.

I'm glad that Ole Sendeka MP has spoken about it this evening in the parliament. Keep it up Mwanakijiji, some people are not used to have their propaganda quashed with vivid examples.

My brother, we all know about this and all other hidden plans/agendas concerning Islam and 2015. Lets wait and see!
 
Nyerere has been highly criticized and condemned lately because of what he did or did not do. It is only fair that people should hear the 'other side of the story'. If this thread worries you, then you have not heard what is on an infamous CD that is being circulated around or you have chosen to ignore. We have to come out of our shells and talk about these things in the open, we can't shy away forever.

I'm glad that Ole Sendeka MP has spoken about it this evening in the parliament. Keep it up Mwanakijiji, some people are not used to have their propaganda quashed with vivid examples.

Fortunately, I have no idea about the CD. If it as inflammatory, the solution is not to repeat the same mistake by uttering an equally inflammatory material. I still feel that it was not wise for Mwanakijiji to come up with this thread, and the way things have gone above board in the discussions bears a testimony. I still stand by my humble view that we should shun any discussions on issues that divide us along religious or tribal lines. More seldom than not, such issues end up raising temparatures unnecessarily. In the end, those who circulate such CDs and those who sponsor same materials in print form, aid and abet the same evil cause!
 
Ukusoma wala ukutaka kujua alijibiwa nani, ila haliyoyasema mtetezi wa Nyerere na kuwaita watu masharobaro wenye kuingiliwa nyuma ilikuwa sawa? Wa wapi wewe!?

Mkuu, nilisoma posts zote pamoja na ya kwako uliyoita 'kumtetea Nyerere sio mapenzi, ni wendawazimu" Hata hivyo nilipochangia nilichangia kwenye post nyingine na si ya kwako, kama ambavyo wewe umechangia hii ya kwangu, wakati nikichangia nyingine. Mkuu, mimi ni wa hapo hapo bongo pamoja na JF. Tutabanana tu kwa hoja.

Hapa watu hawachukiani, wewe lete hoja zako na mwingine analeta hoja zake, si lazima tukubaliane kwa kila jambo.

Ni kweli mkuu, hamna haja ya kuchukiana, na hamna sababu ya kuitana "wendawazimu" kwa kutofautiana hoja tu. Sisi wote watu wazima, mkuu.
Back to the topic, wewe na wenzako "msio wenda wazimu" mnaomkandia JKN, hivi kweli katika pitapita zenu katika maisha ya kiTZ, hamjawahi kupata huduma nzuri labda ya shule, scholarship, hospitalini, idara za serikali hata mara moja? Na mliposoma au kutibiwa katika hospitali, hamwezi kuhusisha mazuri hayo japo kwa mbali na Nyerere? Mabaya tu katika maisha yenu ndio yametokana ama na Nyerere moja kwa moja au misingi yake?!!?? Mazuri yametokana na Kikwete na misingi ya Mwinyi? Kama una mtazamo wa namna hii, basi mkuu, we endelea kutuita wendawazimu. Maana yake sisi tunasimamia ukweli hata kama unaniuma au unakuuma wewe. Nyerere was a great leader na hakuwa mdini wala mkabila.
 
Fortunately, I have no idea about the CD. If it as inflammatory, the solution is not to repeat the same mistake by uttering an equally inflammatory material. I still feel that it was not wise for Mwanakijiji to come up with this thread, and the way things have gone above board in the discussions bears a testimony. I still stand by my humble view that we should shun any discussions on issues that divide us along religious or tribal lines. More seldom than not, such issues end up raising temparatures unnecessarily. In the end, those who circulate such CDs and those who sponsor same materials in print form, aid and abet the same evil cause!

UNfortunately!
 
@Faiza nimejaribu kufatilia comment zako katika mijadala mingi uku janvini nimegundua unaushabiki wa kidini sana, jaribu kuellewa kwamba apa tunajaribu kuelezana na kupashana habari pia kuelimisha, si kejeli na vijembe jaribu sana kua mtashi katika kuchangia mada apa janvini.
Pia tunadhamini sana michango ya mawazo yako but jiebushe sana na maswala ya Udini na kejeli apa si mahala pake.

hasante.

Back
Top Bottom