Jambazi Sugu Iringa Lenye Kuficha Mali Chini ya Ardhi

Duh! Jambazi gani hilo linaloiba mpaka nguo na beseni? Hebu ona hapo kuna na jiko la mchina! Jambazi chovu ile mbaya!
 
huko ardhini alikuwa anazipanda ili ziote!!!yaani anaiba kwa ajili ya kufukia badala ya kutumia!!!
 
Guys, lets be serious. Utamwitaje huyu kuwa ni jambazi? Huyu anapashwa aitwe kibaka!!!! Period. Jambazi anaiba ndoo za plastic na jiko la mchina?

Tiba
 
hili tukio mlilitokea irnga sehemu inaitwa DON BOSCO tarehe 10.october 2011 siku ya jumatatu..,jamaa alikutwa na sanda ya kuzikia na nguo za baadhi ya nguo za aliowaua...polisi walipofika kwake,jamaa akakimbia kwa kupitia "emmergency door " alioitengeneza...ila wananchi wakaichoma na kuiteketeza nyumba yake..alikwa kaoa wanawake watatu ,mabinti amba ndio walipelekwa polisi pamoja na baba yake jambazi ambae alikuwa jirani na mwanae....more to follow...
 
jamaa lina smile kupiga picha kama vile linaenda kuchumbia,na kabinti kake kazurii sipati picha katawapiga vp sachi wakware hapo baadaye
 
Back
Top Bottom