Jamani wapi naweza pata mbuzi choma na ugali kwa Dar nina hamu sana...

Ulizia ni Temeke Mwembeyanga. Ila kuna bar zake tanzu Mbagala sabasaba na Magomeni kagera
 
nenda kwa jemima kinondoni manyanya karibu na pr camp!huyo dada nyoko kwa special order ya ugali na mbuzi choma!
 
Kama unakwenda Kunduchi kutokea kuna sehemu inaitwa Safari Pub wanachoma kitimoto murua sana! Pata na ndizi 3 hamu itakwisha
 
Back
Top Bottom