kuna mnada mbauda wamasai wanachoma mbuzi vizuri huko
kuna mnada mbauda wamasai wanachoma mbuzi vizuri huko
[h=2]Jamani wapi naweza pata mbuzi choma na ugali kwa dar nina hamu sana..[/h]
Mkuu hilo boom ndio unalitumbua kihivyo! duh lazima shavu lije, aliyekwembia uende Jolly usifuate ushauri wake! Utarudi bila hata kumi.mkuu nipo UDSM..nitashuru sana
Wajina!nguruko!!!
Mkuu hilo boom ndio unalitumbua kihivyo! duh lazima shavu lije, aliyekwembia uende Jolly usifuate ushauri wake! Utarudi bila hata kumi.
Mm ni mshamba niku huku chuga lakini najua Jolly kuna vyangudoa sugu.
je umesoma title
buji buji hapo tu umenikuna.Mambo yote JJ Chang'ombe
umeona eeeh! ukiwa hapo we kulaaa kunywaa bil wambie ntalipa mm cha cheque!!Wajina!Hapa ndio penyewe! Kila w.end lazima nishinde hapa