Jamani wanawake tuna matatizo gani?

Unajua kwa nini wanakuwa watamu sana? Hawana stress za maisha kama wewe unayekaa ofisini kwenye ma conference, wao wazingira yao ni ya kingo ngono tu muda wote, wanajifunza na kujadilli hayo mambo kila wakati Na ndio wanunuzi wa magazeti ya Udaku! Wakipata nafasi,,,,, wanafidia kile wanachokosa kwingine...

ishu sio stress
ishu hapa watu malofa hawali wakashiba
na wanafanya kazi sana,
so mwili unakuwa fiti,ndo maana kwenye ngono wanakuwa zaidi
na kingine hawana pesa za starehe zingine
 
Sasa hii mada inaonyesha uasilia wa wamama walio kwenye ndoa au ni extreme case? Tusidhalilishane jamani. Ni sawa na kumchukulia Bhoke kama mwakilisi wa tabia za wadada wote wa bongo!
 
Sasa hii mada inaonyesha uasilia wa wamama walio kwenye ndoa au ni extreme case. Tusidhalilishane jamani. Ni sawa na kumchukulia Bhoke kama mwakilisi wa tabia za wadada wote wa bongo!
Bhoke wa Waganda jamani, msimsakame sana. Kile kitumbua ni chake, hamna anayemsaidia kuvuja damu ya mwezi, hivyo ana maamuzi yake mwenyewe na anafanya atakalo
 
Itafute thread yangu ya mabint mnahitaji nini?Uisome,utapata jibu Naz!
 
Mbona huwasemi wanaume wenye wake wazuri, wanaotembea na Housegirls wao? Sifagilii infidelity iwe imefanywa na mwanaume au mwanamke! Kinachonikera kosa akifanya mwanamke linakuwa so magnified! Na hasa inanikera zaidi ni pale wanawake tunavyokuwa wa kwanza kushutumu wanawake wengine bila kuvaa viatu vyao!What r u trying to tell male folks; that u r a perfect wife material? Go ahead, maybe it will take u somewhere!
you are a woman,right?try to keep yr womanhood and dont make such personal attack to others,be polite and sincere
 
Utakuta mtu amesoma, ana kazi nzuri na hela ya kutosha, mume pia anaye, tena mwenye hela zake nyingi, lakini mdada anaenda kutembea na hausboi, au dereva aliye mwajiri mwenyewe.
Aibu na kudharauliwa wakati mwingine twajitakia wenyewe

haukujisumbua kujua ni ni chanzo?
do u thk in normal circumstance mtu anaamua tu kujitembelesha na tax drver,haus boy....?



chek behind thr some reasons ma dear.....
 
Kitendo hicho hakina uhusiano na elimu wala kipato. Na wanaofanya kwa sababu ya kipato nao wana matatizo yao. Ni namna mtu utakavyomwangalia mwenzio na kuanza kijitengenezea matamanio. Ukishindwa kujizuia ndo unaanguka kwenye tendo chafu.
 
ushirikina umekujaje?
si itikadi zenu mnazofanya alafu pia ushauri mbovu mlionao na kudanganyana sanaaa ndo mana mnajikuta mnadondokea kwa hao watu. Alafu pia mnapenda kuiga sana nyny binadamu mnapenda sana kuiga mana mkiona kwny Tv ndo nazani ni hvyo sivyo hvyo
 
si itikadi zenu mnazofanya alafu pia ushauri mbovu mlionao na kudanganyana sanaaa ndo mana mnajikuta mnadondokea kwa hao watu. Alafu pia mnapenda kuiga sana nyny binadamu mnapenda sana kuiga mana mkiona kwny Tv ndo nazani ni hvyo sivyo hvyo

et ennh?
 
tutajua mengi hapa leo, ahsante mtoa mada. WACHAFU NDO WATAMU???? MBONA HAINIINGII HIYO
 
Back
Top Bottom