Jamani wanawake tuna matatizo gani?

Mbona huwasemi wanaume wenye wake wazuri, wanaotembea na Housegirls wao? Sifagilii infidelity iwe imefanywa na mwanaume au mwanamke! Kinachonikera kosa akifanya mwanamke linakuwa so magnified! Na hasa inanikera zaidi ni pale wanawake tunavyokuwa wa kwanza kushutumu wanawake wengine bila kuvaa viatu vyao!What r u trying to tell male folks; that u r a perfect wife material? Go ahead, maybe it will take u somewhere!
Kama ulivyosema iwe imefanywa na mwanaume au mwanamke haijalishi,pia Haijalishi iwe imesemwa na mwanamke au mwanaume vyote sawa.sasa unakereka nini zaid anaposema mwanamke?au angesema mwanaume ndo ungeridhika na kuona kuwa ni sahihi!Acha mfumo jike banaa!
 
Please!...Please!...Please! Msitaje kazi au profession za watu kuonesha mtu asiyefaa kupendwa au kupenda! Tofauti ya house girls na wandani wenu wa kike ni hizo kazi zao tu. Kuna house girls wanaofaa kuwa wake kuliko hata hao socilolgists mnaodhani wanaijua familia, ndoa na jamii ktk level ya taaluma.
One guy says ana wake wanne; wawili alikutana nao baa (wakifanya kazi) mmoja alikuwa house girl wake na mwingine alimtoa getini tena akiwa bikra. Anadai kuridhishwa zaidi na aliyekuwa house girl kwa kuwa siyo tu anampenda bali ana heshima kama ilivyokuwa awali. Waliokuwa mabaamedi wanajitahidi wa mwisho ni huyu aliyekuwa geti, kasoma na ana ajira rasmi.

Msiwadharau wanawake kwa kazi zao jamani. They are so delicious when they are humble. Mkubali mkatae mwanamke myenyekevu huwa sexier kuliko independent arrogant ones (at least according to me).

[/QUOTE=Sangara;2085953]mapenzi hayana formula mkuu...na sio haki kuwalaumu kina dada peke yao.
mbona wapo wanaume wanaacha wake zao na kuoa house girls?
[/QUOTE]
 
Mbona huwasemi wanaume wenye wake wazuri, wanaotembea na Housegirls wao? Sifagilii infidelity iwe imefanywa na mwanaume au mwanamke! Kinachonikera kosa akifanya mwanamke linakuwa so magnified! Na hasa inanikera zaidi ni pale wanawake tunavyokuwa wa kwanza kushutumu wanawake wengine bila kuvaa viatu vyao!What r u trying to tell male folks; that u r a perfect wife material? Go ahead, maybe it will take u somewhere!

Do! Dada mkali sana huyu, bora umetusemea !
 
You have made my day, and this is very right!!!
 
Bhoke wa Waganda jamani, msimsakame sana. Kile kitumbua ni chake, hamna anayemsaidia kuvuja damu ya mwezi, hivyo ana maamuzi yake mwenyewe na anafanya atakalo

You are right, ni uamuzi wake. Lakini, sidhani kama ana haki ya kufanya atakalo mwele ya macho ya watu wote duniani? What is the difference her and the animals like mbwa, bata, ng'ombe etc.....???
 
Nazjaz mpenzi...hujambo mama?

Ni hivi: Penzi ni zaidi ya Elimu na Kipato...........!

Au unataka kutuambia kosa hapo ni kumegwa na house boy au driver? Kwa hiyo akimegwa na mbunge ruksa kwakuwa amesoma na ana kipato?
hehehe mpywaaaaaaaaaaaaaaaa unauaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mbona huwasemi wanaume wenye wake wazuri, wanaotembea na Housegirls wao? Sifagilii infidelity iwe imefanywa na mwanaume au mwanamke! Kinachonikera kosa akifanya mwanamke linakuwa so magnified! Na hasa inanikera zaidi ni pale wanawake tunavyokuwa wa kwanza kushutumu wanawake wengine bila kuvaa viatu vyao!What r u trying to tell male folks; that u r a perfect wife material? Go ahead, maybe it will take u somewhere!
when u grow up u will understand kwamba cheating aman ni kumvua uanaume wake
 
Utakuta mtu amesoma, ana kazi nzuri na hela ya kutosha, mume pia anaye, tena mwenye hela zake nyingi, lakini mdada anaenda kutembea na hausboi, au dereva aliye mwajiri mwenyewe.
Aibu na kudharauliwa wakati mwingine twajitakia wenyewe
Halafu acha kudharau wanaume wewe. Kwani house boy au dereva hawezi kukugegeda wewe. Hao ni wanaume sawa sawa kabisa na wanaume wengine.
 
Nazjaz mpenzi...hujambo mama?

Ni hivi: Penzi ni zaidi ya Elimu na Kipato...........!

Au unataka kutuambia kosa hapo ni kumegwa na house boy au driver? Kwa hiyo akimegwa na mbunge ruksa kwakuwa amesoma na ana kipato?
mshana jr update tunguli:D
 
Utakuta mtu amesoma, ana kazi nzuri na hela ya kutosha, mume pia anaye, tena mwenye hela zake nyingi, lakini mdada anaenda kutembea na hausboi, au dereva aliye mwajiri mwenyewe.
Aibu na kudharauliwa wakati mwingine twajitakia wenyewe
Umeliona hili!!!hata mimi sijui ni kwanini?
 
Back
Top Bottom