jamani wanaume tumekuwa adimu

Hata kama utawa grade lakini uanaume wao utabaki pale pale, hizo zingine zinabaki kuwa tabia za watu tuu, kitu ambacho haiwezekani watu wote wakawa na tabia moja na hasa uipendayo wewe. Kwani mlevi hana joka la kibisaaaa???? maana ndo uanaume unaanzia hapo.

Joka la kibisa unalijua kaka? Joka la kibisa halina sumu, limeondolewa meno ya kung'ata, so linakuwa functionless.

So kiumbe cha kiume chenye uume usiojua kazi yake, huo uume ndo joka la kibisa. Upoo.

So kwa maelezo yako ukiwa na joka la kibisa, i doubt km unaweza ukajiita mwanaume.
 
ukisema 'wanaume wamekuwa wachache'
weather ni kweli au si kweli
sio jambo la kufurahia....
ni hasara kwa wote....kwa jamii kwa ujumla....

wanasayansi wameandika tayari
kuwa mabadiliko ya dunia yanafanya 'zoezi la kuwa mwanaume'
kuwa gumu kadri siku zinavyokwenda

phisically.....vyakula vina sumu,madawa feki,viwango duni..
hapo bado kazi hakuna au ukiipata ni kazi ya stress nyiingi...
mwisho inaku cost afya....na 'uanaume kiujumla'.....

bado kuna mental fitness....
siku hizi wanawake wamewezeshwa na wanaweza
wanaume wanalazimika ku compete na wanawake kuanzia shuleni mpaka maofisini...
ina cost 'uanaume' pia kwa njia nyingine...

all in all..kama kuna hasara basi ni hasara ya wote
jamii kwa ujumla....
 
Haya twendelee
mi nalia na wanawake wanao wavisha watoto wao nguo za kike hawa ndo wanasababisha idadi ya mashoga inaongezeka nchini haswa haswa huu ukanda wa Pwani na vitongoji vyake.

Wewe mwanaume mpaka mwanao wa kiume anavalishwa gauni unakuwa wapi?
 
Mnatumia sayansi nadharia au sayansi ya vitendo?

Mie napenda maarifa ya nyumbabi na sayansi kimu.

Tunatumia resechi hii inajumuisha nazaria na vitendo, hata hivi karibuni nilikuwa na mpango wa kuelekea china kutathmini wanawake wa siku hizi kwanini maziwa hayatoki mazito wakati wa kunyonyesha lakini wachina wameninyima viza bank statement nilotumia wamesema haina hela za kutosha.
 
I see, km ndo uchache huo mnaouongelea kwa dhana hiyo ya kutumbukiza na kupiga bao basi bora muishie wote tu, hamna maana.

Kwa hiyo ww mkeo/girfriend/fiance wako ndo unavyomfanyia? Unachomeka kikojoleo unakojoa basi na kazi yako km mwanaume inaishia hapo?

Kwa hasira uliyopata nashindwa kupata picha,

Hope uko mzima Koku na gift wetu anaendelea vizuri!!

Babu DC!!
 
Kweli nyie watoto mna matatizo ! Duniani ni watu wawili tuu - mke na mume - hakuna cha wanaume wengi wala wanawake wengi, kwa vile mmezoweya mitusi basi midomo inawasha. Mnatukana mpaka wazee wenu !!!!!:mad:
 
Duuuuuuuuuu,

Leo nimejifunza kitu.....

Kumbe milango ya madarasa huwa haifungwe aiseee!!


Babu DC!!
 
Kwa hasira uliyopata nashindwa kupata picha,

Hope uko mzima Koku na gift wetu anaendelea vizuri!!

Babu DC!!

Babu shkamooo.

Ameniudhi sana, anadhalilisha uanaume na tasnia nzima ya tendo la ndoa na taaluma yake.

Niko OKEY, na kitukuu kinaendelea vema babu
 
Na wanawake wanaoujua uanamke wapo wengi? Maana kila ninakoangaza naona wanawake wanaovaa suruali kama wanaume....so ngoma droo au?
so you mean na eeehhh mtu flan nae ni mwanamke gauni? nimPM nimwambie aje hapa asome maneno yako? kama hajakutwanga na mwiko! unamjua unamchezea?
 
Bishanga umeona nini asubihi na mapema kuja na uzi huu
Kweli wanaume wamebaki wachache sana wengi wa wanaume waliopo wanaoneana kuvaa suruali ni wa kiume sio wanaume
jana kuna wanawake kidogo wauane kisa bishanga,ndo humu jf/mmu huwa nashangaa baadhi ya wanawake wakisema eti....mme/bwanangu akini cheat namuacha hapo hapo,subutu yao!
 
Back
Top Bottom