klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,648
- 5,139
FirstLady1 mganga wangu kaniambia nikikusalimia wewe tu basi matatizo yangu ya maisha kushnei, halaf nitakuwa pedejee.Bishanga ..mie nasoma tu hapa
Mambo?
FirstLady1 mganga wangu kaniambia nikikusalimia wewe tu basi matatizo yangu ya maisha kushnei, halaf nitakuwa pedejee.Bishanga ..mie nasoma tu hapa
klorokwini ..kumbe hawa waganga waongo ..wa kwangu kanambia nikaoge mtoni saa nane usiku ili nyota yangu ifunguke wakati hapa nilipo hakuna mto wala hata chemchem .FirstLady1 mganga wangu kaniambia nikikusalimia wewe tu basi matatizo yangu ya maisha kushnei, halaf nitakuwa pedejee.
Mambo?
FirstLady1klorokwini ..kumbe hawa waganga waongo ..wa kwangu kanambia nikaoge mtoni saa nane usiku ili nyota yangu ifunguke wakati hapa nilipo hakuna mto wala hata chemchem .
nakumiss bana kampeni Arumeru ziliisha ukaelekea Malawi?
FirstLady1
hehehe Haujanishinda mimi bana, nilikumiss mpaka nikakutega alarm kwenye sim. Arumeru ndio hayo hayo ya waganga bana, kuna mganga aliniambia nitashinda lakini niliambulia kura ya waifu na hauzigeli wetu tu, ili kuuwa soo nikatimkia bukina faso.
Bishanga atatusamehe tu bana tuchakachue kidogo.
haahhaah sasa huyu Bishanga anatwambia wanaume wamekuwa adimu wakati wewe klorokwini upo na yeye yupo jumlisha na wengine weeeengi kama mchanga wa baharini
FirstLady1haahhaah sasa huyu Bishanga anatwambia wanaume wamekuwa adimu wakati wewe klorokwini upo na yeye yupo jumlisha na wengine weeeengi kama mchanga wa baharini
:hippie::A S angry::doh::target:hwell::smile::bowl::rofl::A S 41::mad2::bathbaby::rolleyez::crying::whip::glasses-nerdy::A S-cry::lalala::A S-heart-2:layball::censored::shut-mouth::A S shade:
FirstLady1 mganga wangu kaniambia nikikusalimia wewe tu basi matatizo yangu ya maisha kushnei, halaf nitakuwa pedejee.
Mambo?
hehehe komredi bana, halaf uzuri wa mambo wote tunawazawadia vitumbo bila shida yoyote.Haki ya Mungu tupo wachache kama mimi namiliki michuchu minne binafsi na Klorokwini nae anamiliki michuchu 6 unaonaje hapo?
hah hahaha kinawauma ehhh? AFU ELEWA KWANZA APA SIJAONGELEA NGONO WEWE MWENYE KUVAA SURUALI...sasa tuendelee:hippie:
ndo manake babu..wanaume wenye uanaume ni wachache..chek wangap wamelelewa na mama tu?bab katelekeza famil..mnasomeshwa na mama zenu mpk lenu mmeweza.. kununua DADAVUZI MPAKATO bas mnajionaaaaaaaaaaaaa et ohh wanaume wachache ehh ni kweli ni wachache...cz mnayotakiwa kutenda km wanaume hamtend..sasa bado tuwaite wanaume?....MWANAUMEANA SIFA ZAKE BWANA...UKIKAA NAE UNAJUA YAP THIS IS A MAN..
heheh najua mpwa bana, namsalimia kishemeji shemeji tu, si unaona nimeishia "mambo" tu?Mpwa huyu ni shemeji yako nakuaangalia kwa karibu sana
mmekua adimu halafu wengi network hazikamati, hii hatari thatha
heheh najua mpwa bana, namsalimia kishemeji shemeji tu, si unaona nimeishia "mambo" tu?
hehehe komredi bana, halaf uzuri wa mambo wote tunawazawadia vitumbo bila shida yoyote.
Juzi nasafiri wanaume kwenye basi tupo kama 11 kati 60.Nikajiuliza ni wanaume ndo wanazidi kwisha au.Hii sijui inaashiria labda wanawake 10 kwa 1 mwanaume
bibi alinambia NISEME UKWELI..KWELI TUPU NIISIMAMIE
babu umesema kweli nw days wanawawke na wanaume wote awajui yawapasayo kutenda....mmomonyoko wa maadili A-Z
Yep, hiyo ni confirmed kabisa niliwahi kumfanyia interview mhindi mmoja jimbo la gujurati wakati ule niko na BBC akafafanua kwamba samtaimu inawekwa time table kabisa ukutani,Haya turudi kwenye topic nasikia India wanawake wachache kuliko idadi halisi ya wanaume.
Ukioa wewe mnashare na ndugu zako yaani dogo anakuwa anajipigia bro nae akiwa na hamu anakula hata ankal
Wa uswazi wanaelewa kwamba mwanaume hakuumbwa kwa mwanamke mmoja. Wakigundua huwa wanatetea maslahi ya digestion tu basi halafu lavu stori linaendelea.Hii ndo raha ya kumiliki watoto wa uswazi wala hawana wivu hawajui kadi wala baga
Wewe mtoto Jogoo halei vifaranga.
Kazi ya mwanaume ni moja kuchukua kojoleo lake na kuchomeka panapo husika.
Wanaume tuko wachache sana tangu zama za adam, ila magumegume ni wengi.