Akili Kichwani
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,508
- 216
"jamani hata sijui niwaambieaje nawapenda sana tena sana kwakweli na nitawamiss sana. nitakosekana jamvini kwa muda usiojulikana kutokana na matatizo ya IT hapa ofisini kwetu. naomba mtuombee turejee hewani as soon as possible tuendeleze jamvi letu"
hiyo ndiyo kauli ya mwenzetu, ......... mwenye ujumbe wowote kwake aupitishe kwangu utamfikia immediatelly...... na nitahakikisha anaona post zenu zote na any feedback nitaziwasilisha on time........ thanks bros and sists....................