Jamani wanajamvi woote, messege yenu hiyo toka kwa Pearl

wakati nyie mnaongea ongea tu bila matendo, mi tayari nshanunua modem ya Zantel hapa, jioni nampelekea aliendeleze libeneke!

AK utabaki kuwa mesenja tu mpaka mida ya jioni.

ewaa,

hapo hapo kiongozi na mi na do ze nidiful, laptop mupyaaa kabisa yenye the highest security features, yaani popote tu anatesa

Pearl we love u hatuwezi kukuacha upotee hivi hivi
 
Back
Top Bottom