jamani ushauri wa muhimu!

victer

Member
Jun 23, 2012
58
9
najitokeza mbele enu wana jf wenzangu!! Nipo kwenye mahusiano na binti mmoja ambae ninatumaini mungu akijali baada ya miaka 3 niwe nae! Nimekua ktk mahusiano kwa miezi 5 kutokana na tabia yake na way anavojiheshimu na anavonipenda ckutaman na wala ctaman kuwa na mu mwingne tofauti na yeye! Lakini kuna kitu kimeanza kujitokeza mbele ya mboni zangu za macho ambacho nahc huenda kikaja kunintenganisha na huyu binti nacho ni utofauti wa dini zetu,yeye ni muislam na mimi ni mkristu! Kitu nacho hc ni kushndwa kwangu kubadil din kumfata uislamun maana alishanambia muda utapofka inbidi nibadili dini ili nifumge nae ndoa ya kiislam! Mi kubadl dn cwez na yeye kubadil din kunifata mimi amesema hawez! Nilijaribu kumwambia kwani ndoa ya kiserikali haiwezekani ili kila mmoja wetu aendelee kuamini ktk dini ake anadai ndoa ya kiserikali haitambuliwi ktk dini ake! Sasa jamani mi nashndwa nifanye nini coz kumwacha ctaman na wala kubadl dini
haiwezekani...pls jf members help me what to do with tiis?
 
both of you have to compromise; kama kila mtu aking'ang'ania msimamo wake basi kutakuwa hakuna ndoa pamoja na kuwa mnadai kwamba mnapendana
 
Sina takwimu zaku-backup maelezo yangu ni ushauri binafsi tu..........kwa swala linalohusiana na imani...dont compromise....hata kidogo. Unawezakua blinded by love kwa sasa ila huko mbele ya safari na mtakapo pata watoto trust me itakucost sana na unaweza kua na maisha yasiyo na furaha na yaliyojaa majuto.
 
Nakushauri uchague moja:-
-unaweza kupata wa imani yako na ukampenda km ulivyompenda hy.
-Badiri dini.

Mapenzi upofu, cku utakayokuja kuona, unaweza kujutia maamuzi yako iwapo utalazimisha ndoa ya serikali.
 
Tafuta mwanamke wa imani yako ndipo hapo baadaye mtakuwa na maisha ya upendo (angalau kidogo) hata baada ya kuwa pamoja kama mume na mke kwa muda mrefu na kupata watoto. La sivyo penzi lenu na huyo binti ni la muda tu.Usifikirie kuwa mkioana mtapendana kama ilivyo sasa hivi, penzi (upendo) hupungua watu wakiwa mume na mke hasa baada ya kupata watoto.
 
Kaka kwani hiyo dini imejitokeza sasa hivi, hukujua kama ni mna tofauti ya kidini. Hapo hakuna cha zaidi chagua mke au dini kama hamuwezi kucompromise, msipotezeane muda.
 
well said Madamex
mkuu kuanzia mwanzo ulijua kuwa mna tofauti ya dini, kwa hyo mlitakiwa kukubaliana huko mwanzon kabla hamjaingia kwnye mkataba wenu kuwa uhusiano wenu utachukua mkondo gani
kama ww na yy wote hakuna mwenye mpango wa kubadili dini, endeleen kupotezeana muda, coz ni waz kuwa hakuna future hapo.....
Kaka kwani hiyo dini imejitokeza sasa hivi, hukujua kama ni mna tofauti ya kidini. Hapo hakuna cha zaidi chagua mke au dini kama hamuwezi kucompromise, msipotezeane muda.
 
Hapo hakuna ndoa, kwasababu kila mtu hataki kufata imani ya mwenzie na hata mkiona labda msizae mkizaa mtagombana wewe utataka watoto wabatizwe na huyu atataka wasilimu, huo upendo na amani unayoiona sasa haitakuwepo na utabaki ukijuta. Achaneni ikiwa bado mapema, range yako ya kuoa ni miaka 3 so utapata.
 
kwa utaratibu huu...ningeweza kukushauri muanze na zile za bomani (serikalini) huku mkiendelea kufikiria na kuangalia mazingira pengine mmoja anaweza kubadili dini hapo baadae. lakini kama huko pia ni issue inaonekana kila mmoja hayuko tayari kwa mwenzie,
Kama hakuna mapenzi ya kweli its very costful, unaweza badili dini huko mbeleni mkatosana vile vile mzee unabaki mwenyewe hata haueleweki, kurudi mwanzo unaona aibu kuendelea nako ndo ivo tena...! have time for it plz
 
najitokeza mbele enu wana jf wenzangu!! Nipo kwenye mahusiano na binti mmoja ambae ninatumaini mungu akijali baada ya miaka 3 niwe nae! Nimekua ktk mahusiano kwa miezi 5 kutokana na tabia yake na way anavojiheshimu na anavonipenda ckutaman na wala ctaman kuwa na mu mwingne tofauti na yeye! Lakini kuna kitu kimeanza kujitokeza mbele ya mboni zangu za macho ambacho nahc huenda kikaja kunintenganisha na huyu binti nacho ni utofauti wa dini zetu,yeye ni muislam na mimi ni mkristu! Kitu nacho hc ni kushndwa kwangu kubadil din kumfata uislamun maana alishanambia muda utapofka inbidi nibadili dini ili nifumge nae ndoa ya kiislam! Mi kubadl dn cwez na yeye kubadil din kunifata mimi amesema hawez! Nilijaribu kumwambia kwani ndoa ya kiserikali haiwezekani ili kila mmoja wetu aendelee kuamini ktk dini ake anadai ndoa ya kiserikali haitambuliwi ktk dini ake! Sasa jamani mi nashndwa nifanye nini coz kumwacha ctaman na wala kubadl dini
haiwezekani...pls jf members help me what to do with tiis?

Ukishajifunga hivi inakuwa ngumu kukushauri..
Unapotafuta ushauri jaribu kuwa flexible..
Kama alivosema madame Kaunga..tafuta uzi wa Mtambuzi kuhusu hii mada utakusaidia kama kweli uko siriaz!
 
Last edited by a moderator:
Yaani miezi 5 tu ushaanza ku-doubt kuhusu dini zenu? Na una strategic plan ya 3 years to come?

Unatumia kinywaji gani?
 
Usibadilishe dini kwa sababu ya mwanamke akikuacha badae itakuaje.. Ndoa ya serikali is the only option kama hataki then u need to carefully consider ur position coz itakuletea matatizo baadae... Hata siku moja usijebadilisha dini kwa sababu ya shinikizo la mpenzi wako na hiyo ni on both sides
 
toka nipendane na Prakash....sili chakula bila pilipili....ni mwendo wa kuvaa punjabi na kidoti juu kwenye uso.....ukija kwangu hukosi cheuro.....
sijui kwa nini vijana wa siku hizi mnacheza na mapenzi....mnajua maana ya kupenda kweli.......?
 
Yaani miezi 5 tu ushaanza ku-doubt kuhusu dini zenu? Na una strategic plan ya 3 years to come?

Unatumia kinywaji gani?

nilianza kudoubt kuna cku tulikua kwenye mazungumzo ndo nikamuuliza je yuko tayari kubadili dini ili anifate akadai hilo hawez labda mi ndo nimfate,ndo hapo nikaanza kuhc huyu c wangu tena! Coz kwa kawaida najua inapotokea hvo mostly mke ndo humfata mme bt yeye anasema hawez hama uislamun...bt nataka nimweke waz ili tucpotezeane muda nitafute mtu mwngne atakae kuwa wa dini angu! Kuhusu knywaj ctumii kilevi chochote kinywaj changu soda tu!
 
Usibadilishe dini kwa sababu ya mwanamke akikuacha badae itakuaje.. Ndoa ya serikali is the only option kama hataki then u need to carefully consider ur position coz itakuletea matatizo baadae... Hata siku moja usijebadilisha dini kwa sababu ya shinikizo la mpenzi wako na hiyo ni on both sides

hata mie cwez badil din coz mtaonekana dhaifu sana kwa mwanamke! Na ndugu zangu hawatanielewa kabisa..cwez badili dini ndugu ingawa nilikua nimeridhia kufanya hvo bt kabla nikawa nafikiria ndo nikaamua kuomba ushauri wenu coz najua hamuwezi nitupa!
 
Back
Top Bottom