jamani ushauri wa muhimu!

kwa utaratibu huu...ningeweza kukushauri muanze na zile za bomani (serikalini) huku mkiendelea kufikiria na kuangalia mazingira pengine mmoja anaweza kubadili dini hapo baadae. lakini kama huko pia ni issue inaonekana kila mmoja hayuko tayari kwa mwenzie,
Kama hakuna mapenzi ya kweli its very costful, unaweza badili dini huko mbeleni mkatosana vile vile mzee unabaki mwenyewe hata haueleweki, kurudi mwanzo unaona aibu kuendelea nako ndo ivo tena...! have time for it plz

unachosema ni kweli..
 
Kaka kwani hiyo dini imejitokeza sasa hivi, hukujua kama ni mna tofauti ya kidini. Hapo hakuna cha zaidi chagua mke au dini kama hamuwezi kucompromise, msipotezeane muda.

nilitambua kitmbo bt ckuitiria maanani! Nimekuja kukaa na kutafakri ndo nikaamua kumshirikisha ne pia ili tujue cha kufanya kabla hatujafikia azma.
 
Duuuuuuuh! Hapo ndio maneno ya mtambuzi yanatimia!
 
Sina takwimu zaku-backup maelezo yangu ni ushauri binafsi tu..........kwa swala linalohusiana na imani...dont compromise....hata kidogo. Unawezakua blinded by love kwa sasa ila huko mbele ya safari na mtakapo pata watoto trust me itakucost sana na unaweza kua na maisha yasiyo na furaha na yaliyojaa majuto.

Agree with you.
Linapokuja swala la imani lazima Mungu awe wa kwanza mengine yafuate.
Kaka yangu najua kuachana na Huyo bibie inawezekana na wala sio mwisho wa dunia, wala hutakufa, niamini. Najua hata Mungu hawezi kubariki hiki kitu. Kwa Imani yangu uislamu na ukristo havikai pamoja kabisaaa, yaani tunaamini tofauti sana, n wala sijui hata kila mtu akikaa na Imani yake maisha Kama yataenda sawa, kuna mambo hamtaafikiana, mtakwaruzana na inaweza kufikia kuvunja ndoa. Kwangu Mimi, upendo peke yake hautoshi kuwa na ndoa kuna other factors nyingi, including Imani. Penzi ni Kama mmea, huota, kuchanua, hukua na huweza kufa, sasa hihitaji kumwagiliwa, kuchochewa na factors nyingine, Kama Kuamini pamoja.
 
  • Thanks
Reactions: Kbd
Wananikera wanaodai, nampendaaa bila yeye siwezi kuishi wakati kamwona juzi tu. Kwani mwenye tabia hizo ni yeye tu duniani kote?
Watu wanafikiri ukipenda tu, umemaliza.
 
duh pole! kwa ninavyoona hapo hakuna ndoa, coz kila mtu kasimamia imani yake, dini ndo huwa inawatenganisha watu wapendanao,mm mwenzio kabla sijaanzisha uhusiano na mtu huwa naangalia jina kwanza ni dini gani. nikishajua dini tofuati huwa nasepa pole pole, maana mimi nikipenda nimependa kweli so vitu kama hivyo huwa naepukana navyo mapema. Na huwa namwomba MWENYEZI MUNGU anipe mtu sawa na dini yangu ili huko mbeleni kusiwe na vikazwo.
 
hata mie cwez badil din coz mtaonekana dhaifu sana kwa mwanamke! Na ndugu zangu hawatanielewa kabisa..cwez badili dini ndugu ingawa nilikua nimeridhia kufanya hvo bt kabla nikawa nafikiria ndo nikaamua kuomba ushauri wenu coz najua hamuwezi nitupa!

oa katika hao ndugu zako then...
 
hapo jiondoe mapema!!ndoa itakuwa ngumu sana mkishaingiza ishu za dini
 
Back
Top Bottom