Jamani shemeji yangu huyu..... hadi jumapili tarehe 22/01/2017

Dah...General, if the wife of your young bro has the dirty mouth, eventually as u said when u decide to talk to her you will end up smashing her and will cause more damage on the situation,
the thing is i think take your young bro somewhere quite so the two of you can talk in a very matured way, but here try to convince him together with you follow her movements, can be in the phone(here you might be know right techniques to achieve this),or like the way you caught them handed with that fake pastor you can call him secretly so he can come and get evidence by seeing her,that way he might believe.

But mind you, you already caught the woman handed so am sure right now she is asking herself many questions why in all those "fumanizis" you didint say anything, and probaly she has already ask her husband in a very tricky way maybe if he has been talking to you or if you have tell him anything ...so she might be planning something.
Kumbe kwa ndugu zako unakuwa na busara..Nikajua na huyu nae ungemlia timing umgegede
 
Huna kazi Zaidi ya kumfuatilia mke wa mdogo wako;
au na wewe unamtaka?
Naomba heshima yangu kwako iendelee kuwepo ili nisikengeuke nikaropoka neno baya likakukwaza, kuna sehemu yyte kwny uzi wangu inayosema kwamba nilikuwa namfuatilia....tulia na usome kwa makini utaelewa tu
 
ila wewe ni wa ovyo sana yaani mke wa mdogo wako anagawa marinda kitaa unamuacha? siku akizikwa mdogo wako utafurahi eeh! acha ujinga weka kikao cha family useme live kwani atakufanya nini? si kweli?
Lipo jambo kubwa nimepanga kulifanya ambalo halitakuwa na maswali yyte ya kujiuliza kuhusu tabia chafu za yule bi mdogo, hapo bw mdogo ndo atachagua pumba zipi mchele upi
 
Habarini za wakati kama huu wadau wenzangu wa uwanja Wetu huu pendwa, naomba niseme wazi kwamba uzi huu cjauweka hapa ili kukashifu imani ya mtu yeyote, kwa hiyo kwa atakaekwazika anisamehe tu maana hakuna namna.

Naomba ushauri juu ya huyu mke wa mdogo wangu, kipindi cha nyuma (akiwa tyr ni mke wa mdogo wangu) niliwahi kugundua tangu anatongozwa na hatimae kuopolewa na li njemba moja hivi ambalo sina uhakika sana na utimamu wa akili zake,niliiona mipango yote hadi siku ya kwenda kugegedana nilishuhudia...... lakini bahati mbaya kwa bibie ni kwamba wakati wanatoka akaniona na mi nikamuona tukawa tumeonana akastuka kiaina, wakageukiana kunong'onezana jambo nadhani alikuwa anamuonesha mimi ili kumtahadharisha, nilipoligundua hilo nikateleza pale nikahamia sehemu nyingine ambayo ilifanya niendelee kuwaona, walipogeuka hawakuniona wakachanganyikiwa zaidi....... nikaona wanaondoka harakaharaka.

Nililitafuta lile jamaa nikaunda nalo urafiki wa uongo na kweli hatimae likaingia mtegoni na bila ya kujua kuwa mwanamke liliyekuwa nae ni mke wa mtu lilijikuta linatapika mambo yoooote waliyofanya siku hiyo tena kwa kujigamba likawa linasema kwamba eti lilimgegeda PAPUCHI likapiga na 0713...... ndo maana nikasema sina imani na utimamu wa akili zake........ Hilo jambo niliumia nalo sana moyoni lakini nikaamua hilo niachane nalo, na kweli nikafanya ivo

Jumapili ya juzi tarehe 22/01/2017 jioni ilinikuta kwny hotel flani nachangamsha ubongo kdg, sasa kutokana na harakati zangu za KIJASUSI nikiwa sehemu kama hizo huwa napenda kukaa sehemu ya kujificha lakini huku nikihakikisha naangalia geti kuu ili nione wanaoingia na kutoka, macho yangu ya kipelelezi yakavutika zaidi nilipoona wanaingia mwanamke na mwanaume, na kilichonivutia sana ni kwa yule mwanaume jinsi alivokuwa amevaa, alijilazimisha kuvaa kama vijana wa kisasa lakini umbo la mwili wake halikukubaliana na mtindo wa mavazi alioutaka yeye..... nikajikuta navutika niendelee kuwafuatilia kwa macho hadi walipokwenda kukaa.

Staili waliyokaa ikanifanya niwaone wote kwa pamoja, kwa kweli hadi moyo wangu ukastuka paah..... alikuwa ni yule yule shemeji yangu mke wa mdogo wangu lakini safari hii alikuwa na mchungaji mmoja wa haya makanisa wanayoyaita ya kiroho......nilibaki nimeganda nawaangalia bila kujua la kufanya, nikajikuta naufanyia utalii kwa macho mwili wa yule mchungaji hatimae macho yakanasa kwny kidole chake.... ana pete ya ndoa imetulia pale, kumbe ana mke!!..... nikawa nawasikitikia waumini wake, mke wake na watoto wake pia, bia na nyama choma ziliteketea sana pale...... kumbe na mchungaji anapiga maji vzr tu.

Kutokana na pilika zangu..... kwa kawaida nikiwa maeneo kama hayo huwa napenda kufanya malipo ya hapo hapo kwa kila huduma ninayopatiwa, hiyo ni kutokana kwamba wakati mwingine huwa nalazimika kuondoka ghafla tena kwa uficho wa hali ya juu sana, na hata cku hiyo ilikuwa ni ivo ivo tu, nikamuona shemeji yangu anainuka kuelekea ndani eneo la mapokezi..... na mi nikainuka kwa usiri mkubwa nikaelekea huko huko lengo langu anione na kweli ikawa ivo, nilimkuta anaandikisha chumba...... aliponiona akastuka na mi nikatoa simu kujifanya naongea halafu nikampita pale pale nikatokea mlango wa nyuma nikaondoka zangu nikapotelea mtaani.

Sasa jamani ushauri wenu tu nauhitaji juu ya hili, maana najickia huruma sana juu ya mdogo wangu lakini pia nina hasira sana kwa shemeji yangu..... NIFANYEJE????
we jasusi gani unaejitangaza hadharani au we unashirika lako binafsi LA kijasusi?..huyo boss wako anahasara..
 
Wewe ni bwege usiombe ushauri tena kama ivi Leo ,wewe n bwege ntozeni ushuli gani sasa upewe hapo ? Kufa
 
wewe endelea na upepelezi tu watu huku wanajilia vyao!! huna ata imani na mdogo wako! ulitakiwa mara ya kwanza tu uchukue juhudi za kumaliza gemu!!!
 
Wewe ni bwege usiombe ushauri tena kama ivi Leo ,wewe n bwege ntozeni ushuli gani sasa upewe hapo ? Kufa
Kumbe ni ivo...... hizi stress za January zinatutia na uchizi jamani unajikuta unakuwa na ule ugonjwa wa kukasirika hata bila sababu na matokeo yake unajikuta unatukana hata ambao huwajui....... shenzy sana
 
Back
Top Bottom