Jamani Recho anaimba

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,638
2,720
Kwa kweli Bongo tuna wasanii wa kike wa kujivunia. Hasa Recho na Jide. Nyimbo zote za Recho zinanibamba kinoma. Ukianza na Mwali Kigego, Umependeza na huu wa Sasa Nikumbate. Kiufupi Recho ni Rihana wa Bongo. Pia Jide naye yuko vizuri. hasa wimbo wake wa iweje uwe historia na nyingine nyingi.
Napenda kuwapa big up sana hawa wasanii.
 
Kwa kweli Bongo tuna wasanii wa kike wa kujivunia. Hasa Recho na Jide. Nyimbo zote za Recho zinanibamba kinoma. Ukianza na Mwali Kigego, Umependeza na huu wa Sasa Nikumbate. Kiufupi Recho ni Rihana wa Bongo. Pia Jide naye yuko vizuri. hasa wimbo wake wa iweje uwe historia na nyingine nyingi...
Napenda kuwapa big up sana hawa wasanii.

Haya tuma salamu kwa watu watatu?
 
Huyu binti, Rachel, yuko vizuri sana, mie namkubali na naamini hajatokea promota mzuri, au producer mzuri aliyefanikiwa kumuona. Sauti anayo nzuri sana, hajapata wa kumuweka vizuri akawa mwanamziki mkubwa. Kila nikimsikia akiimba huwa namkumbuka Mbilia Bel. Naamini akipata bahati ya producer mzuri atafika mbali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom