Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
Nlifanya interview ya oral PSPF walisema wangeita watu january.
Mwenye taarifa,msaada please.
Mwenye taarifa,msaada please.
wazo la kujiajiri ni zuri but lina style yake kaka.watu mnadhani kujiajiri ni kitu kirahisi, rahisi tu. watu tunakaa kwa ndugu zetu, msosi wa kuvizia,shule tumesoma kwa tabu, hadi budget ya nauli inagoma.unadhani kujiajiri itakuwa rahisi?
hzo ndo fikra potof believe me...elim ulokua nayo ni investment tosha kabisa...
Nlifanya interview ya oral PSPF walisema wangeita watu january.
Mwenye taarifa,msaada please.
Poa mkuu kweli ukimkuta kobe juu ya mti ujue kapandishwa.kuna taarifa zisizo rasmi kwamba hadi wamtangaze managing director mpya ndo kila kitu kitakuwa hadharani. Lakini ndg yangu hawa jamaa nasikia tayari kuna vimemo vingi vimeshapita, na zile nafasi zilikuwa kumi na siyo nane. watu wawili tayari walishajulikana zamani.
Mkuu kama unategemea "kamlete" imekula kwako,mimi napambana hiyo ofisi simjui hata mlinzi.nlijibeba ckubebwa.Muulize aliyekufanikisha mpaka ukafanya hiyo oral, taarifa atakuwa nazo tu. Au ndo jembe limeisha makali?
uitwe kazini wakati ile ya kwanza ilikuwa ni just an amptitude test,kuna interview ya pili mjomba,oral,kama mlishaitwa ya pili sawa