jamani nisaidieni!

Ninliy

Senior Member
Jan 8, 2012
132
12
kuna dada mmoja anasema yeye siku zote ujauzito wake unachukua mwaka badala ya miezi9 je hii inawezekana?
 
kuna dada mmoja anasema yeye siku zote ujauzito wake unachukua mwaka badala ya miezi9 je hii inawezekana?



Muulize vizuri. Akutajie kuwa siku ya mwisho ya menses ilikuwa lini na kujifungua alijifungua lini. Jumlisha siku zote gawa kwa 7 kupata jumla ya wiki. Normally mimba huchukua wiki 36 (miezi 9) hadi 40 (miezi 10). Ikizidi hapo ni abnomal na mtoto atakaezaliwa atakuwa na uzito mkubwa zaidi ya kg 4 na kupelekea kuzaliwa kwa operesheni.
Muulize pia huo umri wa ujauzito alihakikishiwa na mhudumu wa afya au ni hesabu zake. Niko kwenye hii field kwa miaka 15 kina mama wengi hujichanganya kwenye tarehe za kuingia mimba,mama anaweza kukutajia tarehe ya mbali ikionyesha preg ni ya miezi km 6 ukimfanyia uchunguzi hadi ultra sound anasomeka miezi 2 au 3! Au akataja miezi ya chini kumbe mimba ni kubwa zaidi.
Pia vilevile uwepo au kutokuwepo siku sio kwamba mtu ni preg au la,kuna sababu kibao zinginezo. Kuna watu wanapoteza hadi mwaka mzima bila kuona siku zao,hapo katikati mimba ikiingia inakuwa kazi nyingine inayochanganya kujua umri wa mimba bila kuangalia dalili nyinginezo + uchunguzi!
Mind u dalili nyingi za mimba out of ammenorrhoea ! Bila msaada wa mtaalam wa tiba ni vigumu kuwa sure 100% juu ya umri wa mimba kwa baadhi ya wamama.
 
Ndiyo inawezekana. Kuna aina fulani ya genetic anomaly ambayo inawezesha hivyo. Kuna makabila fulani duniani mwaka ndiyo muda wa kawaida kwa mimba kuzaliwa.
 
kuna dada mmoja anasema yeye siku zote ujauzito wake unachukua mwaka badala ya miezi9 je hii inawezekana?

Ndiyo hiyo inawezekana mimba kuzidi miezi 9,mimba zinazozidi kuanzia wiki 42 kitaalamu huitwa overdue pregnancy huu siyo ugonjwa wa kumfanya mama akawa na hofu.Cha msingi siku ya kujifungua ikifika ndani ya miezi 9 aende hosp.kwani wanaweza mshauri kumuanzishiwa uchungu(induction of labour) ili kujifungua kwa wakati,kuliko kusubiri mpaka mwaka ufike anakuwa at risk ya kupasuliwa japo siyo lazima inategemea na ukubwa wa mtoto na condition zingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom