Hataki kupima ujauzito

Confundido

Member
Mar 17, 2021
27
112
Nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja, kwa zaidi ya mwaka sasa, amekuwa na tatizo la kupata ujauzito kwenye ndoa yake kwa zaidi ya miaka mnne ya ndoa, na amekuwa akiniomba nimsaidie kupata ujauzito, kwa madai ya kuwa mumewe anatatizo la uzazi ila hajijui.

Sasa bhana baada ya kuusoma mzunguko wake kwa muda mrefu, nimegundua kuwa amepitiliza siku 5, hivyo nahisi ameshadaka, nimekuja na kipimo cha mimba amekataa amesema atapata presha Bure,mtoto akitoka amefanana na Mimi mume wake atajua na yy atafukuzwa, sijajua bado nia yake nini.

Je, anataka akutoe au sielewi?
 
Nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja, kwa zaidi ya mwaka sasa, amekuwa na tatizo la kupata ujauzito kwenye ndoa yake kwa zaidi ya miaka mnne ya ndoa, na amekuwa akiniomba nimsaidie kupata ujauzito, kwa madai ya kuwa mumewe anatatizo la uzazi ila hajijui, sasa bhana baada ya kuusoma mzunguko wake kwa muda mrefu, nimegundua kuwa amepitiliza siku Tano, hivyo nahisi ameshadaka, nimekuja na kipimo cha mimba amekataa amesema atapata preshq Bure,mtoto akitoka amefananq na Mimi mume wake atajua na yy atafukuzwa, sijajua bado nia yake nini, je anataka akutoe au sielewi
umeshafanya dhambi ya uzinzi, uharibifu wa ndoa za watu na sasa naona unajiandaa kikamilifu kwenye mauaji ya kichanga asie na hatia🤭

Mwenyezi Mungu atakase mawazo, maneno na matendo yako ya uharibifu na hatimae ukawe mwema...
 
Sasa alikuomba umsaidie apate ujauzito na sasa anaogopa mtoto akifanana na wewe mume wake atamind? Duuh.

Ila adui wa mwanaume ni mwanaume. Kwahiyo umezini na mke wa mwanaume mwenzio ukaona haitoshi ukamwaga ndani kabisa na sasa mnataka mumsingizie mimba alee bao lako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom