Hussein J Mahenga
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 746
- 634
Naombeni mnisaidie mnaoijua shule hii ya Kalangalala,Geita!
Kwenye kumbukumbu zangu,inaonyesha hii shule iko Kongo-kinshasa na sio tanzania.over
Acha mambo ya ajabu kama hukutaka kunisaidia si ungekaa kushoto? Mbona mnakosa hata moyo wa huruma jamani,mm nimeuliza kwa heshima na taadhma lakn ww sijui kw nn unakosa adabu kiac hicho,hv ww wa wapi? Kama ni mtu mzima nisamehe ila kiukwl huna adabu!
sasa kosa ni kukuambia hyo shule iko congo au?ndo ukweli wangu huo lakn mkuu,wat i know hyo shule iko congo na co tanzania.over
Usaidiwe nini? Nafasi ya kusoma au nafasi ya kufundisha? Eleweka tafadhaliNaombeni mnisaidie mnaoijua shule hii ya Kalangalala,Geita!
Hii shule ipo geita ni shule mpya kwa michepuo ya sayansi ila inaupungufu mkubwa wa walimu kwaiyo kazi ni kwako kijana
Ndio ina michepuo ya arts pia lakini ni shule mpya kwa mchepuo wa sayansi.hostel zipo