Jamani nisaidieni, mke wa rafiki yangu kataja jina langu wakiwa faragha.

Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,454
2,975
Jamani nina rafiki yangu wa karibu sana. Alisafiri kama miezi 2 hiv kwenda nje kimasomo, kama kawaida mimi ni mtu wake wa karibu hivyo aliniachia majukumu ya kumuangalizia familia yake. Sasa amerudi juzi j1. Leo kanifuata nyumbani kistaarabu na kuniambia kuwa tangia afike amekuwa akimshangaa mke wake anatajataja sn jina langu hasa wanapokuwa kitandani wakila tunda. Mimi nimeshindwa la kumjibu nimemwambia nitaenda kwake jioni tuongee kifamilia lkn lengo langu kubwa ilikuwa nije kupata ushauri huku.
 
Mkuu kuwa muwazi, sioni cha kukushauri kwa sababu hujaweka wazi jibu lako ni lipi kwa swali uliloulizwa na huyo rafiki yako.
 
Funguka ! Hapa hakuna atakaekupeleka kotini.
Huyo Shemejio ushawahi kum'mega ?
Hata kama mara moko tu, tuwekee wazi manaake mi najua kama ni mara 1 haina noma sana.
 
kwanini akutaje kama haukuvunja naye amri za Bwana.
mtu anapofikia kukufuata home kwa ajili hiyo ujue
yuko serious. kama vipi mwambie uko na kazi
nyingi ili upate muda wa kuyafanyia kazi,
jitahidi usitume sms au kumpigia mkewe.

vinginevyo kimekula kwako.
 
Hahahahaaa dogo kama kawaida ushaharibu kitaaa eee
Teh kimbia mji na ushukuru jamaa mstaarabu sana angeshakutoa wowowowowooo
 
Tulikuwa karibu sana lkn sikumbuki ni mara ngapi au kama kweli tuliwahi kubanjua amri ya 6, labda kama nimesahau.
 
Mkubwa ! Hii biashara ya kuanzisha thread then unasepa hailipi !
Members wanachangia , wanakuuliza haupo !
Sio sahihi, tuna mpango wa kuanza kuwa'note members wenye style yako , mkianzisha Uzi tunauchunia au unasemaje ?
 
duuuh..jamaa kasema umuangalizie we hukutaniaaa..big up jembe...ilaa jiandae kuliwa...maana hata JK mwenyewe kashasema huwezi kula bila kuliwa
 
Mkubwa ! Hii biashara ya kuanzisha thread then unasepa hailipi !
Members wanachangia , wanakuuliza haupo !
Sio sahihi, tuna mpango wa kuanza kuwa'note members wenye style yako , mkianzisha Uzi tunauchunia au unasemaje ?

Mkuu mbona nipo? Nimesema sikumbuki kama nilikula au la!
 
Mkuu kuwa muwazi, sioni cha kukushauri kwa sababu hujaweka wazi jibu lako ni lipi kwa swali uliloulizwa na huyo rafiki yako.

Mkuu kusema ukweli hali ni tete! Unataka nisemeje sasa ili unielewe?
 
Tulikuwa karibu sana lkn sikumbuki ni mara ngapi au kama kweli tuliwahi kubanjua amri ya 6, labda kama nimesahau.

we mat*ko nini?yani hukumbuki kama ulishawahi kumlala au hapana!!!hiki kituko cha mwaka...demu niliyembanjua enzi za kibaba/kimama namkumbuka hadi leo...
we unastahili akupige mapanga maana hujielewi,au ndio chitchat yenyewe?
 
Mkubwa ! Hii biashara ya kuanzisha thread then unasepa hailipi !
Members wanachangia , wanakuuliza haupo !
Sio sahihi, tuna mpango wa kuanza kuwa'note members wenye style yako , mkianzisha Uzi tunauchunia au unasemaje ?

Mkuu mbona nipo? Nimesema sikumbuki kama nilikula au la!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom