Jamani nisaidieni, mke wa rafiki yangu kataja jina langu wakiwa faragha.

we mat*ko nini?yani hukumbuki kama ulishawahi kumlala au hapana!!!hiki kituko cha mwaka...demu niliyembanjua enzi za kibaba/kimama namkumbuka hadi leo...
we unastahili akupige mapanga maana hujielewi,au ndio chitchat yenyewe?

Eti amesahau..!!!!! utakuja fanyiwa kitu mbaya halafu usahau shauri yako. Watu wako serious kushauri
 
Umetenda dhambi kubwa sana.....magelz wamejaa tele mpk ukamkosea heshma rafiki yako...shame upon u
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom