Benard tabora
Member
- Aug 10, 2011
- 11
- 0
Wataalam mke wangu anasumbuliwa na tumbo chini ya kitovu yaani linabana sana,je naweza kutumia dawa gani ili nimnusuru naomba msaada tafadhali.
muwahishe hosp mara nyingi wakiwa katika siku zao huwa wanahangaika sana
plz mpeleke hospitali, ikiwezekana apimwe na hata utrasound