Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,193
ipo keki ya Ndafu.
inafaa hiyo na mizinga isikosekane.
ipo keki ya Ndafu.
Wakati unasheherekea siku yako ya kuzaliwa, ukumbuke na waliokufa siku unayozaliwa akiwemo JK Nyerere.
Happy Birthday kiongozi.
Wakati unasheherekea siku yako ya kuzaliwa, ukumbuke na waliokufa siku unayozaliwa akiwemo JK Nyerere.
Happy Birthday kiongozi.
Ewaaaaaa!Kwa hiyo asherehekee na kuhuzunika kwa pamoja??
Kwa hiyo unaweka biya halafu unaweka machozi!!
Ewaaaaaa!
Huku anamimina biya, huku anamwaga chozi
Huku anatafuna mbuzi, huku anafuta chozi
Tutafanyaje sasa na hali ndo ishakuwa hivyo?
Hata mimi nimezaliwa leo, miaka mingi iliyopita. Happy B'Day twin
Hello wanaJF ninayofuraha kuwaalika katika birthday party yangu hapa nyumbani i wish niwe nanyi wadau kwani MMU makes my life very comfortable ila mazingira hayaruhusu. LOVE U ALL
Hello wanaJF ninayofuraha kuwaalika katika birthday party yangu hapa nyumbani i wish niwe nanyi wadau kwani MMU makes my life very comfortable ila mazingira hayaruhusu. LOVE U ALL
mpe huyo twin wangu heri ya siku yake ya kuzaliwa kaka. Thanks a lotumezaliwa siku moja na mdogo wangu, happy birth day
Long live mkuu.... Wengine tupo Butiama tunaomboleza. Sherehekea siku yako mkuu... Miaka 100 mingine inakuja
Happy Birthday B_E
Hongereni sana wakuu..
Asee...kwa hiyo bado upo maternity word au ushatoka mkuu....hongera kwa kuzeeka mkuu!
Happy Birthday!