Jamani nifanye nini?

Ameoaa! Mmh, anakudanganya huyo. Ukimkubali ujue mtacheza cheza tu kwa muda halafu mwenzio atarudi kwa mkewe.
 
Niliwahi kuleta thread hii hapa

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/161232-how-can-you-let-it-go.html

Huyu kiumbe amekuwa akinipigia simu kuwa hawezi kunisahau, amejitahidi ku let it go but ameshindwa (anavyodai), at the same time he is married, hivi nafanyaje mbona anazidi kunichanganyia habari namna hii?
Nilishamsahau na maisha yakasonga mbele,is he aiming to hurt me?
Nimeshablock namba zake zote lakini anatumia namba tofautitofauti kunipigia.
Hii hali naitatua vipi?

mamie kwan nw si unampenzi wako mwingine na unampenda 2.
kama jibu ni ndio embu mpotezee huyo , hakupendi wala nn aliyempenda ni huyo aliyemuoa na kumuweka ndani kama mkewe ww na kuenjoy 2 na kuutia maumivu moyo wako achana nae kama ulishamsahau mdelete kbs nenda na kwenye recycle bin ukamdelete ukifanya ivo hutamuona challange tena .
 
Back
Top Bottom