Jamani ni kweli namba 8 inabahati????

luku_77

Senior Member
Jul 3, 2012
176
19
maana mwana mke akiwa na umbo namba nane watu husifu sana. pia kilichonisukuma zaidi niiulize jamiiforums nilipanga tarehe 16 mwezi 8 nimvishe pete mchuba marafiki zangu wakasema sio siku nzuri na badala yake wakapendekeza iwe 18-8 na wakadai ni siku yenye bahati jamani nikweli hiiii?????????
 
na maansha kila namba inayo ishia nane 08_18_98_2008 nazani utakuwa umeelewa karibu!

du! Mmmh sina uhakika mkuu wangu, labda ukifunga harusi siku hiyo ya 8-8-2018 ccm watakua washatoka madarakani, hilo ndilo lenye uhakika
 
du! Mmmh sina uhakika mkuu wangu, labda ukifunga harusi siku hiyo ya 8-8-2018 ccm watakua washatoka madarakani, hilo ndilo lenye uhakika

asante ila hao ulio malizia nao wanaitwaaje vile ccm? huku kwetu umemaanisha "chaku cha mchana" asante kututakia mlo mwema na karibu tule wote.
 
Hapo labda uniambie wameona tuu hizo nane nane zimependeza kukaa pamoja nitakuelewa, lakini eti namba nane ina bahati..Mmmh, mi siamini hizo imani!
 
Usijaribu kabisa hizo tarehe zenye 8 utapata mke mlango wa nane.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom