klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,648
- 5,140
hehehe huyo babu askushtue sana, ukimpa kopo mbili tu za mvinyo anatoa idhini halaf ni fellow tablet pia. yupo kule kwenye sredi la mawasiliano na mapenzi.Si ndio km hivyo tena nimezimika mpaka nakubali mahari ya sred ya utamu wa ndoa wakati wenzaku wanataka mamilion!
Nakupa siku 3 j3 naomba utuwekee huo uzi naamini hata wale ambao wana machungu ya ndoa au mapnz basi watapata ahuen kwa kuusoma!
Namuulizia babu yangu kipnz Asprin umemwona wapi?ujue huyo ndio mtoa idhin ya ww kunioa so anza kumpa advansi kbs lol!
sredi linahitaji mwezi bana! unajua litakuwa sredi la kufa mtu, yaani baada ya hilo sredi basi idadi ya ndoa lazima iongezeke tanzania