Jamani naombeni mbinu za kumtania mtu wangu,yaani siwezi utani kabisa,niko serious 2.

FADHILIEJ

Senior Member
Nov 5, 2010
132
18
Wadau ninashukuru kwa michango yenu yote.....,kila aliyechangia nimemuelewa,

Pili nasikitika sana sikuwa hewani kwa muda kutokana na masuala ya kikazi hivyo sijaweza kuwajibu kwa wakati walioniuliza maswali kadhaa ambayo ni ya msingi sana.

Mawazo na michango yote mliyonipatia ninaifanyia kazi.

 
Mlete kwangu mi ntajitolea kumtania on ur behalf afu we jioni ukija unamkuta na furaha unamchukua au vp buuuuuuure kabisa!
 
Mkuu hapo hujatatua tatizo,yuko very complecated hapa natafuta shule kiukweli
 
Duh kacheki bandama kama vipi, au vipi utekenywe eeee mpaka ucheke bana we vipi uwe nautani kidogo sio serious kama mjeshi ndo nini sasa.
 
Back
Top Bottom