Jamani naombeni mbinu za kumtania mtu wangu,yaani siwezi utani kabisa,niko serious.

FADHILIEJ

Senior Member
Nov 5, 2010
132
18
Wadau nimegundua suala la utani ni muhimu sana kwenye masuala ya mahusiano,lakini mm ninatatizo la kuwa serious hata ninapotaka kutania nakosa pa kuanzia ,nifanyaje au nitumie mbinu ganiiiii,Msaada tafadhali.
 
Mkubwa unakiri huwezi mzaha kutokana na u'seriously ulionao sasa ya nini uvae mask ?
Stay with kind you are !
 
kupenda utani ni suala la personality au disposition ya mtu... unaweza kuforce ndiyo ukaharibu kabisa..
 
tupatie sifa za mtaniwa kusudiwa halafu tutakushauri kwa nasaha kabisa..................
 
Heeh kumbe mtu serious hua anajijua?mi nilifikiri hua hawajielewi
 
nenda kadese kwenye jukwaa la jokes!iba jokes za excellent,au mohamedi shossi au wengineo!mhadithie mkeo,akicheka basi!kila mara unaiba kamoja!
 
Kwa jinsi ulivyo sidhani hata kama ukimtania ataona utani maana hajakuzoea hivyo!baki ulivyo. Au nikuulize huo usiriasi wako niwa kujifanyisha ama manjonjo ya mapenzi lol
 
Labda unafanya kazi kwenye kiwanda cha polonium!!!

Nawia usoni konyagi, sura ikilegea atacheka hadi basi.
 
.....mwambie....
.."mpenzi wangu sijawah kukuskia uki.. jamb...aa."...
Jus say that
 
Utundu hausomewi, unakuja nachoro, bora abaki kama alivyo.

Kongosho..ni kweli kabisaa..nisipokunywa pombe najifanyaga serious lakini najikaushaga tu hua natafuta chocho nacheka peke angu af nikirudi nafanya aksheni hiyoo nomaa af bila kujua mi naona normal tu..na nilisha wahi kukaa na mawaziri kadhaa lakini kila ninacho ongea nastukia wanachekaaa..eti wananiita nachekesha..wakati mwenyewe napenda kuchekeshwa..yani hata sijielewagi..naeza nikaenda bar ndo usiseme kila mtu dogoo dogooo njoo huku!! huko fb ndo usiseme..stumi request!! ha ha..ucheshi na being playful its natural..nilifukuzwa shule feza boys dahh ..kwl nimekua skuiz!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom