Jamani naomba kupata msaada wa kisheria kumchukua mtoto wangu!

Emmado

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
209
215
Naombeni msaada wa kisheria kumchukua mtoto wangu toka kwa mama yake.
Kuna mwanamke nimezaa nae mtoto mmoja, nilikua nampa matumizi yote ya muhimu pamoja na hela ya kula na kuvaa mtoto na yeye. Sasa hivi karibuni tumeshindwana kwasababu ya mambo yake.. Mtoto alikua anasoma Internatinal school amemwachisha amempeleka shule ya msingi ya kawaida, nimejaribu kumwelekeza naona hanielewi. sasa naombeni mnisaidie.. Je kuna msaada wa kisheria wa kuweza kumchukua mwanangu nimrudishe shule nayotaka mimi? Mtoto ana miaka sita (6). mama anaemng'ang'ania hana kazi ila yupo kwa wazazi wake tu . Naombeni msaada wenu wana jamvi!
Natanguliza shukrani!
 
1.inamana unampaga huyo mzazi mwenzio ada ya mtoto akalipe yeye? 2. ni sabb gani zilizofanya amwamishe mtoto shule?
 
Ism moshi, tanganyika dsm, isamilo mwanza, brieban arusha, st. Costantine arusha? Kwa shule hizo hapo may be huyo mama ni mkorofi kupindukia. Hampendi mwanae kiasi hicho kweli?
 
ada nalipa mimi, yeye kamua tuu eti kunikomoa mbaya zaidi kahama na mji kaenda kwao wilayani huko.. na haja mwamisha kamwachisha...
 
st. Costantine arusha
 
Ism moshi, tanganyika dsm, isamilo mwanza, brieban arusha, st. Costantine arusha? Kwa shule hizo hapo may be huyo mama ni mkorofi kupindukia. Hampendi mwanae kiasi hicho kweli?
Mie pia nimehisi hampendi mwanae au vinginevyo ana matatizo ya akili...kwa dunia ya sasa kweli anawezaje kumwachisha mtoto shule?...matatizo yake na mzazi mwenzie mtoto hayamuhusu kabisa!

@ Mleta mada nenda ustawi wa jamii waeleze hali halisi watakusaidia.
 
Ushauri mzuri, kama maelezo uliyoweka hapa ni sawa, nenda ustawi wa jamii watakupa mtoto wako as long uthibitishe kweli mama huyo anayafanya haya. Utapewa mwanao bila longo longo.

Nje ya mada: Huyo mama wala hamchukii mtoto. Hakuna mama anayemchukia mtoto. Anachofanya huyo mama ni kumtumia mtoto kama kigezo cha wewe uweze kumfikiria upya, na anajua akikunyima mtoto unaweza kufikiria kumchukua na yeye pia. Wanawake bwana, yaani
 
nashukuru
 
kweli ndio mawazo yake, ngoja nimpeleke kwenye sheria
 
anakukomoa wewe au mtoto, kwaharaka haraka nahisi anafanya hvy ili umuoe, akina mama wengine ni wapuuzi sana we Nenda ustawi wa jamii kajieleze vizuri utampewa mwanao,
 
Ushauri mzuri, kama maelezo uliyoweka hapa ni sawa, nenda ustawi wa jamii watakupa mtoto wako as long uthibitishe kweli mama huyo anayafanya haya. Utapewa mwanao bila longo longo.

Nje ya mada: Huyo mama wala hamchukii mtoto. Hakuna mama anayemchukia mtoto. Anachofanya huyo mama ni kumtumia mtoto kama kigezo cha wewe uweze kumfikiria upya, na anajua akikunyima mtoto unaweza kufikiria kumchukua na yeye pia. Wanawake bwana, yaani
Daah, nakubaliana na wewe manake labda anajua jamaa anampenda mwanae na anapenda mwanae asome shule nzuri, yeye hapendwi kumkomoa ni kumwachisha mtoto shule!

Huyo mama mtoto ni mbinafsi sana manake amejifikiria na kujijali yeye zaidi, angemfikiria na kumjali mwanae asingeyafanya hayo!
 
Pole sana kijana fuata ushauri hapo juu.Ila sipendi vijana kuwazalisha wadada zetu na kuishia kulea watoto.Kama uliona K yake tamu ungemueka ndani awe mkeo kabisa.
 
anakukomoa wewe au mtoto, kwaharaka haraka nahisi anafanya hvy ili umuoe, akina mama wengine ni wapuuzi sana we Nenda ustawi wa jamii kajieleze vizuri utampewa mwanao,

Kwanini umzalishe mtu ambae hutarajii kumuoa.Nafikri hata cc wanaume tunamatatizo oooh nitalea mtoto so what mama je?, umeshamzalisha nani atakemuoa,au yeye ni chuo cha mafunzo cha kuzalia watoto agrrrrrrr.
 
Details zaidi zinatakiwa ili ushauriwe zaidi...una hakika ni mtoto wako? kumpa mtoto matumizi haikufanyi kuwa baba mtoto legally...Je unamnyanyasa? umemtishia? uhusiano wenu ni threat kwa mtoto??
pengine baba mtoto ndo huyo anaemsomesha shule ya kawaida!
 
Ushauri mzuri, kama maelezo uliyoweka hapa ni sawa, nenda ustawi wa jamii watakupa mtoto wako as long uthibitishe kweli mama huyo anayafanya haya. Utapewa mwanao bila longo longo.

Nje ya mada: Huyo mama wala hamchukii mtoto. Hakuna mama anayemchukia mtoto. Anachofanya huyo mama ni kumtumia mtoto kama kigezo cha wewe uweze kumfikiria upya, na anajua akikunyima mtoto unaweza kufikiria kumchukua na yeye pia. Wanawake bwana, yaani

Unajua hadithi kama hizi hazifai kamwe kusikiliza upande mmoja. Huyu mama siyo kwamba anamtega mleta mada. Kwa mujibu wa mleta mada, alikua anamtunza mtoto na hata mama alikua anamhudumia (ametaja kununua mavazi), nk nk. Kwahiyo walikuwa na mahusiano mazuri na mzazi mwenziye, nini kimebadilisha?.

Mleta mada asijidai hajui sababu ya yeye kutoswa peke yake. Atakuwa anajua tu. Atueleze wamegombana nini, asijidai hajui eti kaondoka na mtoto kwa sababu gani.

Kuna mwanamke hapendi mtoto wake atunzwe vizuri? Wengine mbona wanakabidhi watoto wa mwaka mmoja kwa baba zao?

Tueleze ndiyo tukushauri. Ukipenda nenda Ustawi wa Jamii ndiyo ukaumbuke vizuri au upewe haki yako.
 
Kwanini umzalishe mtu ambae hutarajii kumuoa.Nafikri hata cc wanaume tunamatatizo oooh nitalea mtoto so what mama je?, umeshamzalisha nani atakemuoa,au yeye ni chuo cha mafunzo cha kuzalia watoto agrrrrrrr.
kwanini na huyo mwanamama abebe mimba kama hawakupanga kuzaa na kuoana?
 
Back
Top Bottom