Jamani naomba kupata msaada wa kisheria kumchukua mtoto wangu!

pole sana usikate tamaa..

- kwanza nenda ustawi wa jamii watakupa utaratibu wote na pia watamwita na kutoa malezo
- pia unaweza kushirikisha ndugu zake na wako kama ni suala ambalo liko wazi
 
Back
Top Bottom