lembenikwetu
Member
- Dec 6, 2022
- 6
- 3
Habarini wapenzi, naomba mnisaidie.
Kwa mujibu wa sheria kama wazazi wametengana na watoto akapewa mama awalee. Je, iwapo mama amebadili dini baada ya ndoa kuvunjika
(1) ni kosa kisheria?
(2) Na je kwa sababu hiyo mahakama inaweza kumnyang'anya mama mtoto?
(3) Ni sahihi kwa mtoto kupelekwa kwa mama wa kambo ambaye ni mke wa baba yake lakini baba haishi naye anaishi na mke mwingine?
Naombeni msaada