Jamani mwenye taarifa kuhusu flying over za magfuri zimefikia wapi?

katule

Member
Sep 10, 2012
5
0
mh magufuri alihaidi kuwa kufikia 2015 sehemu zote za makutano hasa akataja ubungo,tazara na magomeni kuwa atajenga hizo barabara za juu sasa mbona kimya saiz naona mradi wa mabasi yaendayo kasi ndo umepamba moto au nao nguvu ya soda jamani haadi nyingi utekelezaji zirooooo!!
 
kenya wanazo fly over na wanafikiria kujenga treni za.chini ya ardhi by 2020
 
Back
Top Bottom