Jamani msiwaseme vibaya watumishi wa Mungu

sijaelewa hapa, kafukuzwa kwenye eneo alilopewa kwa matumizi ya kimaombi, sasa iweje asijiombee kurudishiwa eneo, awaombee wengine wafunguliwe.

Hii inanitatiza kidogo ama ndio kinyozi/mganga hajinyoi/hajigangi ?
 
mimi nilishahudhuria mahubiri ya ya Geodavie pale biafra kinondoni!mbona sikuona kama anatumia nguvu zisizo za MUNGU?
 
...alafu nitafsirrie maana ya neno nabii.....
Ubarikiwe

Kuna tofauti yoyote baina ya askofu (kama Kakobe vile) nabii (kama huyu anayetajwa)? Suppose naanzisha huduma kama hizi. Nitajuaje kwamba mimi ni Nabii na siyo Askofu?
 
Sunday school, tafadhali..
Shule ya jumapili????
Kuna tofauti yoyote baina ya askofu (kama Kakobe vile) nabii (kama huyu anayetajwa)? Suppose naanzisha huduma kama hizi. Nitajuaje kwamba mimi ni Nabii na siyo Askofu?

Nimezoea kusoma kwenye biblia nabii Musa na wenzake ndio natatizika kuwa kwa sasa duniani kuna manabii........miaka ya 80-90 sikuwahi kusikia manabii...how come mate?

mimi nilishahudhuria mahubiri ya ya Geodavie pale biafra kinondoni!mbona sikuona kama anatumia nguvu zisizo za MUNGU?

Mkuu unayafatilia maandiko vema? unajua kuwa hata nguvu za giza zinaponya?
sijaelewa hapa, kafukuzwa kwenye eneo alilopewa kwa matumizi ya kimaombi, sasa iweje asijiombee kurudishiwa eneo, awaombee wengine wafunguliwe.

Hii inanitatiza kidogo ama ndio kinyozi/mganga hajinyoi/hajigangi ?
Mkuu unahitaji somo la kutosha........unakumbuka kuna wakati mashehe walilimwa virungu na vijana wa afande tossi mbona hawakupiga swala wale maafande wakisiwapege?
 
naomba nijibu kwa ujumla kwanza hakutangaza sababu ile siyo biashara wanaoamini waje wasioamini wasije waliojua wakafika ndo hao ndo mana huwezi kukuta kwenye matangazo anasema leteni wagojwa na wenye shida kama wewe unaamini utaleta mgonjwa na mwenye shida.

kwenye biblia Yesu aliponya watu akawaambia msiseme lakini wale watu walishidwa kunyamaza wakasema na habari zikaenea na hapo ukitoka huambiwi katengaze ukiamua tangaza ukiamua jikaushe lakini ukitendewa mema kwa nini usimrudishie Mungu sifa na utukufu?

Ukisoma Mathayo 7: mstari wa tisa kama sikosei sina uhakika mtanisamehe biblia inasema " nendeni ulimwenguni kote mkahubiri mkisema ufalme wa Mungu umekaribia,mkaponye wagonjwa, kufufu wafu nk. sasa hapo utaona kwamba mkimaliza kuhubiri mponye wagonjwa na msaidie watus hida zao.kama nitakuwa nimequote vibay mnisahihishe kwa wale mnaojua.

Haya story ya yule mama ilikuwa hivi.

yule mama alikuwa mgonjwa muda mrefu akaenda kwenye maombi akaambiwa wewe ni mgonjwa muda mrefu na hapo ulipo una roho ya mauti usipotubu na kuacha dhambi na kumrudia Mungu utakufa yule mama alikuwa ananguvu za giza zinamfuata baada ya mkutano sasa akarudi nyumbani akamuambia mume wake mtumishi kaniambia hivi na hivi na kweli usiku wake mama akafa, ndo mume akaenda kutoa ripoti polisi geor davie akakamatwa lakini baada ya uchunguzi ikagundulika ni nini na mama alipopimwa na madaktari kilichomuua ni cancer ya kizazi alikuwa nayo mda mrefu, nadhani mmenipata

Bibblia inasema kuna walimu, wainjilisti, wachungaji, maaskofu na manabii,hata enzi na agano la kale manabii walikuwepo musa , elia nk.nabii ni mtu anayewasiliana na roho wa Mungu anaweza akajua mambo yako yajayo na yaliyopita na yaliyopo.
 
Yo Yo ktk umri ulofikia kama hujui maana ya neno nabii, sidhani kama hata ukiambiwa itakusaidia sana. Hayo ni maono yangu tu.
 
Yo Yo ktk umri ulofikia kama hujui maana ya neno nabii, sidhani kama hata ukiambiwa itakusaidia sana. Hayo ni maono yangu tu.
kwa kuwa hujui ma age.....labda nina 5yrs old au 6....nisaidie maana ya nabii tusijaze bandwidth..
 
kwa kuwa hujui ma age.....labda nina 5yrs old au 6....nisaidie maana ya nabii tusijaze bandwidth..

Kama nilivyolonga ktk sehemu ya pili ya sentensi ya kwanza, ktk post ulioinukulu, IT WILL BE SHEER FUTILE EFFORT mzee. BTW,computer yako haishiki G :D :D GLE?
 
I dont trust someone called himself "Nabii" Since that time hakuna nabii wala mtume atapatikana zaidi ya wale waliowahi. Nafikir kwa hili hatuna mchango zaidi ya kila mtu kushika imani yake. Unajua kila kinawezekana kwa imani. Hata wewe kama una imani bila kutoka nyumbani kwako ukashika biblia au msahafu ukasali mwenyewe mambo yanaenda.

Wengi tunafurahia matangazo ya manabii kuwa sehemu fulani, je una imani ndani yako au unatembea kama garasa?
 
Juzi jpili nilihudhuria kwenye maombi ya ngurumo ya upako na nabii geor davie .

ETI NABII!.................

naona sasa maswala ya '........kuabudu,na uinjilishaji.......' yanapoteza ladha yake taratiiiiiiiiiiiiiiibu.maanake wapokeaji HAWAELEWI SASA
 
mimi nilishahudhuria mahubiri ya ya Geodavie pale biafra kinondoni!mbona sikuona kama anatumia nguvu zisizo za MUNGU?

FIRST LADY UNAO UWEZO WA KUONA NGUVU ZISIZO ZA MUNGU?.......AU ZA MUNGU?au na wewe ni mwanakamati?

jamani tuwe tunaangalia na vitu vya kupost PUBLIC!.............jamii itashindwa kutuelewa wanajamii
 
Kama nilivyolonga ktk sehemu ya pili ya sentensi ya kwanza, ktk post ulioinukulu, IT WILL BE SHEER FUTILE EFFORT mzee. BTW,computer yako haishiki G :D :D GLE?
Dr unaona uvivu gani kuniambia kwa sentenso 3 kuwa nabii ni bla blaa......
 
kweli Jocyeline wewe ni muuminimtiifu wa ngurumo.

Ila tazama sana maneno yako manaana unapotosha uhalisi wa neno la Mungu. Inaonekana unashabikia miuujiza kuliko injili yenyewe. Pia umesahau au hujasoma kuwa Biblia inasema tujaribu kila roho. Pia kuwa sio wote wanaotumia jina la Yesu ni wa kwake. Sijajua unasimamia nini unaposema tusimtazame mtu ili mradi anatumia jina la Yesu.

Hebu nieleze:
Umeshawahi kuona wapi nabii katika neno la Mungu anajiita au aliintwa MHESHIMIWA?
Ulishawahi kuona ua kusikia wapi mtumishi wa Mungu anatembea kwa king'ora cha polisi a kujitafutia makuu hadi kwenye palte number za magari?
Kule arusha ngurumo alichota watu maelefu kwa maelfu. matajiri na watu wa ICTR walikua wanajaa kwenye ibada zake. Ni wapi kuwa alikua anapata pesa nyingi sana na ndizo zilikua zinamwezesha kutembea kama president na walinzi na magari kibao. Sasa ilikuwje akashindwa kununua kiwanja cha kanisa kwa muda wote huo karibu miaka mitano sasa? Pesa zilikua zinakwenda wapi na kufanya nini?
Wale aliokua amewajaza kwenye kanisa lake kule Arusha kamwachia nani?
 
Mkutano huo ulitangazwa jmosi jioni lakini watu walijaa ile mbaya na hajatangaza kwenye redio wala gazeti tumeambiwa tupashane habari.

Umeongopa hapa kuna gari lilipita linatangaza na nililiona kwa macho yangu linapita barabara ya Bibi titi na Morogoro road.
Mtumishi wa Mungu hutakiwi kuwa muongo.
 
kweli Jocyeline wewe ni muuminimtiifu wa ngurumo.

Ila tazama sana maneno yako manaana unapotosha uhalisi wa neno la Mungu. Inaonekana unashabikia miuujiza kuliko injili yenyewe. Pia umesahau au hujasoma kuwa Biblia inasema tujaribu kila roho. Pia kuwa sio wote wanaotumia jina la Yesu ni wa kwake. Sijajua unasimamia nini unaposema tusimtazame mtu ili mradi anatumia jina la Yesu.

Hebu nieleze:
Umeshawahi kuona wapi nabii katika neno la Mungu anajiita au aliintwa MHESHIMIWA?
Ulishawahi kuona ua kusikia wapi mtumishi wa Mungu anatembea kwa king'ora cha polisi a kujitafutia makuu hadi kwenye palte number za magari?
Kule arusha ngurumo alichota watu maelefu kwa maelfu. matajiri na watu wa ICTR walikua wanajaa kwenye ibada zake. Ni wapi kuwa alikua anapata pesa nyingi sana na ndizo zilikua zinamwezesha kutembea kama president na walinzi na magari kibao. Sasa ilikuwje akashindwa kununua kiwanja cha kanisa kwa muda wote huo karibu miaka mitano sasa? Pesa zilikua zinakwenda wapi na kufanya nini?
Wale aliokua amewajaza kwenye kanisa lake kule Arusha kamwachia nani?
 
Nimeisoma thread nzima na napenda kuchangia ifuatavyo:
1) tujue tuko katika nyakati za mwisho - nyakati ambazo maasi yameongezeka kwa kiwango cha juu - always - maasi yanapoongezeka, neema ya Mungu inaongezeka - hence miujiza imeongezeka kutokana na kiwango cha maasi Mfano - siku hizi utasikia watoto wadogo ni wachawi, watu wanauana kwa kutaka utajiri - (the case of Albino killing) - enzi za zamani hayakuwepo.

- so mchawi anapoku-chawia ukapata janga - basi hapo Mungu anaingilia kati na unapona kimiujiza - instantly - kwa jina la Yesu

2) Katika Biblia - imeandikwa kwamba Mungu alishusha HUDUMA TANO - ambazo ni a) Wachungaji b) Waalimu c) Mitume d) Manabii e) Wainjilisti
na pia Ndani ya Roho Mtakatifu kuna KARAMA i.e. - uponyaji, miujiza, kunena kwa lugha, Neno la Maarifa, Hekima, Tafsiri za Lugha, Kupambanua roho, unabii - hizi zote ni kwa ajili ya kuwajenga watu wa Mungu na kuujenga mwili wa Kristo.

3) Hatuingii mbinguni kwa kazi tufanyazo tu - bali kwa kumwamini Yesu na utakatifu - Wagalatia 5:22 - Tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi - na TUNDA LA MWILI NI UASHERATI, UCHAFU, UFISADI, IBADA YA SANAMU, UCHAWI, UADUI, UGOMVI, WIVU, HASIRA, FITINA, FARAKA, UZUSHI, HUSUDA, ULEVI, ULAFI, na mambo yafananayo na hayo na watu watendao hayo KAMWE HAWATAURITHI UFALME WA MUNGU

3) Mungu ni ROHO - inabidi kumwabudu katika ROHO na KWELI - hachunguziki kibinadamu au akili za mwanadamu - so miujiza yake ni ya ajabu kwani yeye pia ni wa AJABU - alituumba kwa ajabu, anatuita kwake kiajabu etc. so be in spirit - otherwise you will end up questioning Gods work for the rest of your life.

BE BLESSED ALL
 
Umeongopa hapa kuna gari lilipita linatangaza na nililiona kwa macho yangu linapita barabara ya Bibi titi na Morogoro road.
Mtumishi wa Mungu hutakiwi kuwa muongo.

Uko sahihi Fidel,

Mwenyewe nililiona gari la matangazo la huyo Geo Davie mitaa ya New Africa Hotel lilitokea Posta mpya, askari monument (round about), Azania Front...etc!

So Joyceline kubali mapungufu!
 
Back
Top Bottom