Jamani msiwaseme vibaya watumishi wa Mungu

Mwanazuoni,

Think beyond the box tafadhali! Soma na maandiko mengine kwa undani..yaani vitabu vya Burdha, Shintoism, Kuraani, Kitabu cha Wahindi, n.k

Ni ngumu sana kutetea kuwa imani yangu ndo nzuri na kunyooshea vidole wengine kwa misingi ya jinsi unavyoamini!

% kubwa ya Wachina hawaanimi Mungu ila utashangaa ndo wametujengea reli ya tazara, na uwanja wa mpira! Juzi tu walipata tetemeko ..hakuna Mtz hata mmoja aleyetoa mchango wa kibinadamu! sasa huu ni uppendo gani?

Upendo na imani ya kweli ni kusadiana, kuheshimiana na sii kuonyesha ni imani ipi bora?

Kila mtu akitumia kitabu chake cha maandiko na kuonyesha mistari kuwa ndo kweli..je tutafika?
 
karibu sana mtumishi wa Mungu. sisi tutakuwa pamoja nawe hapa bongo. nilikuwa nakusikia sana ulipokuwa kule arusha, sasa bora umekuja huku bongoland ili tubarikiwe na Bwana. Mungu akubariki na kukufanikisha katika kila unalofanya.
 
if you look at it at the scholary point of view, referecence and citations are done to literatures relating to the topic under discussion. Unataka niongelee ukristo na kurefer kitabu gani?

Na hii ndio mana ya kuhubiri injili. Tunaubiri kile tunachokijua na kukiamini na si vinginevyo. Kikubwa ni kuhakikisha wewe umesikia halafu tunakuachia nafasi ya kufanya maamuzi juu ya ulichosikia iwapo unakiamini.
 
Wawe na uwazi kwenye mapato na matumizi yao wachekwe? Maana wakifanya hivyo wafuasi wao watagundua kama hawa jamaa nao ni mafisadi tu ambao wanaishi maisha ya hali ya juu kwa michango chungu nzima toka kwa waumini wao na wakati huo huo hawana unabii wowote ule ni wanafiki tu.

Hata misikitini ugomvi ni huo uwazi kukosa kiasi wanapigana bakora na kushikiana jambia. Waambie hao kwanza maana huko sio wanahama kwenda kwingine bali wanahatarisha hata usalama.
 
Sawa huko sunday school si tunafundishwa mema na mabaya na si mwanadamu amepewa utashi wa kuchagua mema na mabaya, na kwa kuwa tumeelekezwa huko sunday school hatuna budi kufuata,swala la mtu kukengeuka anafanya huku akijua lipi jema.Kwa hiyo hawa manabii hutupa nguvu ya kupinga utashi tuliopewa wa kuchagua jema au baya kwamba tukiombewa tunachagua jema tu? Suala la mtu kuwa hajawahi kuponywa ni dalili ndio sababu ya kwenda kwa nabii? napenda tu kueleweshwa.

hakuna kitu kama hiko,tusidanganyane,eti kwa kuwa hujaponyeshwa na mchungaji ndio uende kwa nabii,kwanza hakuna manabii sasa hivi,neno la Mu`ngu linasema watakuja manabii wa uongo ndio hao kuwa makini!

Sawa kwa hiyo muda gani utumike kama kipimo, kwamba nisipoponywa within a year nihamie kwa nabii mwingine, au nipofanikiwa mambo yangu ndani ya mwezi nitafute maombi pengine?

achana na imani hizo utapotea ndugu yangu,uponyaji ni imani,amini yoyote atakae kuombea utapona,neno linasema Mungu wetu anajibu kwa wakati wake achelewi wala hawahi mradi uwe na imani na mkamilifu mbele zake.
sawa

mwisho nina swali hivi kwenye biblia tunaona kweli Uponyaji ulitokea na miujiza ila kwa ufahamu wangu mdogo nasoma kuwa mara nyingi yesu alipofanya miujiza aliwasihi wale walioponywa wasitangaze kwa watu, napata wazo kuwa Yesu hakutaka ionekane kuwa kazi kubwa ya ukombozi ni miujiza ila kubadili roho za watu, waache dhambi. Nachelea kuamini huu uponyaji wa siku hizi, wahubiri wameelemea kwenye mijuiza yaani mabadiliko ya miili (ikiwemo kufanikiwa kupata visa, magari, utajiri-niliangalia mahubiri fulani mhubiri alisisitiza waliokosa visa waende waombewe, wanaotaka utajiri waombewe nk) badala ya kuhubiri ukombozi wa roho.
Pili, kwa nini hili wimbi la wahubiri wanaofanya miujiza limeongezeka kwa kasi miaka hii? ina maana makanisa yetu huko nyuma hajafanya kazi ipasavyo? Na mijini ndio kwenye watu wenye matatizo sanaaa maana ministry nyingi ziko mjijini.
Nikieleweshwa kwenye hili basi nitaacha udadisi.

ni kweli YESU alifanya miujiza kwa ajili ya kuponya roho na si jambo lingine,nami nashangazwa sana na jambo hili la kusema ukienda kanisa au kwa muhubiri yule utapata mafanikio makubwa badala ya kumwambia mtu ukipata mahubiri utaponya mwili na roho yako,mie nashangazwa na hawa wanaojiita manabii kupenda kutumia zana flani kama uponyaji mfano kitambaa anakipunga hewani watu wanaanguka na kupoteza fahamu,lazima tujiulize anarusha nini,toka nasoma sanday school sijafundishwa yesu alipunga kitambaa watu wakaanguka,kwa ufahamu wangu wanaombewa wote wakaanguka wana mapepo je nawe mwenzetu joseline una mapepo,mpendwa usiache kudadisi endelea mpaka upate jibu.ila nataka nikwambie fata vile roho wa Mungu ndani yako atakavyokuongoza.
 
kwa kweli huyu ndugu Geodavie huduma yake INATIA SHAKA
Kwa nini watu wawe na mashaka na maswali mengi juu yake lakini hawana mashaka wala wasiwasi na mtu kama Mwakasege na wahudumu wengine?
Hata mimi namuona Geodavie ni mpinga kristo.
Biblia inasema wazi kuwa amelaaniwa yule amtegemea mwanadamu, amfanyaye kuwa ngao na kinga ya maisha yake.
Geodavie yeye anatembea na mabodigadi, je Yesu hatoshi kumlinda??
Zaburi inasema Bwana asipoulinda mji waulindao wakesha bure.
Yesu alipokuwa anakamatwa ili akasulubiwe mmoja wa wanafunzi wake alitoa kisu na kumkata askari mmoja sikio, Yesu akaliunga.
Hapo alikuwa anatufundisha kuwa vita yetu si ya damu na nyama ila ni ya kiroho, tunapigana na yule adui mwovu shetani. Mabodigadi wapo ili wapigane vita gani?/ je ni ya mwili au ya roho?
Nilipata nafasi ya kuhudhuria Mkutano mmoja wa Geodavie ulifanyika mwaka jana viwanja vya Biafra,
Nilichokiona ilikuwa ni kama kupiga ramli...........
jamaa alisema kama unahisi kuna mtu yeyote anayekuroga, andika jina lake kwenye karatasi..
kisha nitafanya maombi huku tukiteketeza majina hayo kwenye moto....
Akaendelea kusema kuwa wale wote walioandikwa majina watapatwa na mambo mabaya.
Yesu hakuja kuhukumu ulimwengu ila ulimwengu uokolewe kupitia yeye.
Tunaiombea sana huduma ya Nguromo ya upako....
Tunamuombea na mheshimiwa nabiii......
Arusha amekosa watu ndo maana kahamia DSM,
Tunaomba abadilishe namna ya kuongoza watu,
abadilishe namna ya kufanya ibada,
abadilike utu wake wa ndani...
amrudie Yesu.. maana muda wote yeye husema MUNGU WA NGURUMO ULIYENITOKEA PALE MADHABAHUNi.....
Da Mi huwa nasikia Mungu wa lsaka, Mungu wa Yakobo...
Lakini huyo Mungu wa Ngurumo ni mpya.
 
Heee!!!!!!!!! Mungu wa ngurumo,kwakweli hata mama yangu ni mwinjilisti na siku zote namsikia akisema MUNGU WA IBRAHIMU,MUNGU ISAKA NA MUNGU WA YAKOBo_Ok tusiwanyoshee watumishi wa Mungu mkono mie huyo nitamnyoshea sbb Mungu wake ni Ngurumo nami huyo simjui.ama kweli ni siku za mwisho,sasa wewe kama nabii utamwambiaje mtu kama unahisi mtu anakuloga sasa huo ni unabii kweli kama si RAMLI aliosema ndugu yangu hapa?? nachojua manabii wa zamani walikuwa wakitoa unabii wa kweli sio wa kuhisi,jamni naomba tufunguke mioyo na macho,hivi hamkusoma kuwa shetani huwa anakuja kama malaika wa nuru...sasa hapo ndipo mwenye kufahamu na afahamu.Haya mungu wa ngurumo ukimaliza umaarufu hapo hamia mwanza nao ni mji mkubwa.
 
Dah! nisaidie nawe mwenzangu,kwani mtu ukijiita MUINJILISTI haitoshi na watu hawapokei neno la Mungu.......?????
Ni kweli inatosha kama yeye ni mwinjilist,lakini kwa nini tulazimishe ajiite mwinjilisti kama yeye ni Nabii?fahamu kuna karama nyingi lakini Roho ni yuleyule,kama wanafanya usanii hukumu ni juu yao lakini hauwezi kumuhukumu mtu kwa title ya utumishi anayoitumia unless wewe ni MUNGU au unamjua vizuri sana personally.
 
Juzi jpili nilihudhuria kwenye maombi ya ngurumo ya upako na nabii geor davie ambaye aliendesha maombi kwenye ukumbi wa diamond jubilee kwa kweli yesu anatenda miujiza pamoja na kwamba watu watasema mengi lakini nimeshuhudia kwa macho yangu , mimi sitakiwi kujua anatumia nini na anafanya nini bora anataja jina la yesu natakiwa nisikilize maneno.
Mkutano huo ulitangazwa jmosi jioni lakini watu walijaa ile mbaya na hajatangaza kwenye redio wala gazeti tumeambiwa tupashane habari.

Ni hivi nabii geordavie atakuwa anaendesha maombi yake dar kwa muda wa wiki nne kwa sababu lile eneo alilokuwa anatumia kule kisongo arusha mwenyewe kamnyan'ganya na linanunuliwa na mfanya biashara mmoja arusha kwa hiyo wakati eneo lingine linaaandaliwa atakuwa dar kwa muda huo kuna muumini ametoa eneo la ekari 2 ndo liko kwenye matengenezo kwa hiyo kwa muda huo waumini wa dar tutapokea upako live pale makonde maeneo ya mbezi beach.

Hivi Kweli mtu wa mungu kweli kweli ambae amepewa kipawa na mungu mwenyewe kupitia yesu kristo anaweza akasimama kujitamba na kujiita MSTAHIKI MHESHIMIWA NABII WA KARNE YA 21......!!!!!!!!!! yaani amejipandisha cheo mwenyewe badala ya kumpa sifa Yesu mwenyewe anajipandisha yeye cheo, Hii hata kwa kufikiri pasipo kupitia maandiko matakatifu kwenye biblia kubaini Nabii wa kweli Na uwongo utakuwa na shaka tena kubwa juu ya huyu mtu, hivi tujiulize kwa swali dogo tuu, MUNGU KATIKA UTATU MTAKATIFU ANA KARNE????? Maana kama anayo naomba mtu anitafutie kwenye maandiko matakatifu mahali palipoandikwa kwamba muujiza wa mungu unatofautiana kwa nyakati!!!! Leo Nguvu 40% Baada ya miaka 20 78%!! hii haiingii akilini hata kwa mtu mwenye imani haba! Sasa hivi hapa ARUSHA Kuna matangazo yamebandikwa sehemu kubwa ikimtangaza Kwa kujiita Mstahiki mheshimiwa nabii wa karne ya 21 atakuwa pale sheikh Amri Abedi tarehe 19 hadi 21 akitoa NENO LA MUNGU NA MIUJIZA KUONEKANA, Kweli watu wanamtania mungu. Yangu macho watakao ona ni vyema kwenda mimi siwakatazi ila twahitaji kufikiri na kusoma Biblia kwa undani kubaini Ukweli la sivyo watu watapotea Mbaya kabisa.
 
sijawahi kuhudhuria mahubiri yake but nilikuwa nakutanaga na msafara wake, kwenye no plate kaziba kaandika "ngurumo ya upako" ana escort kama ya waziri fulani, wengi wanayacfia/wanayapenda mahubiri yake, na wengine wanaongea mengi kuhusu yeye, ndio nyakati za mwisho hizi "manabii" wengi watajitokeza.]

Umeona eeh, Yaani anapita Kawasha na mataa na vitambaa pembezeni mwa gari vimeandikwa ngurumo ya upako na kama ulivyosema, Gari lenyewe tinted! sa sijui ndo yesu huyo ama!!!
 
2meambiwa tufuate maneno siyo matendo, hutakiwi kujua anafanya nini au anatumia nini ananiombea kwa jina la yesu ninapona, mambo yangu yanafunguka ananisomea mistari ya biblia hayo mengine mimi sina shida nayo kwa sababu namwamini Yesu ni bwana na mwokozi wa maisha yangu atumie nini , au nini i dont care.
na kama ni swala la kwenda kutangaza injili vijijini huwa anaenda kwani mwaka mzima anakuwaga dar msiongee kwa ushabiki ongeeni vitu mlivyo na uhakika navyo yeye hatutangazii injili nadhani wengi tangu sunday school tunasoma biblia wengiene ni mabigwa wa wokovu lakini hajawahi kuponywa na mambo yake ni mabaya daily ndo mana tukaletewa watu wa kutufungua na vifungo. kama wengine wanavyosema wengi watakuja kwa jina langu mimi kama mkristo natakiwa niangalie kuna mahali unaingia wewe mwenyewe unaona hapa ni usanii mtupu. mchungaji anaombea mtu mwka mzima hajapona yeye akiona imani yako iko chini sana yani umeenda kujaribu hakuombei maana usipopona ndo utamuona muongo, anafanya kazi na watu wenye imani na wasio na imani anawatia moyo wamwamini Mungu ndo watapona mpo hapo?

Hii sio siasa watu waongee kwa ushabiki kaka, We ka unaenda nenda tena ikiwezekana lala huko kabisa.
 
ndugu zangu mm ni mgeni ktk jumba hili lkn kwa haraka haraka ninaona ni jumba la watu wengi wenye imani tofaouti na ufahamu tofauti. Kimsingi mada inayoongelewa naona inaenda mbali sana na kutoa information za ndani zisizopaswa kuongelewa maala hapa. Hata nyumbani akiwepo mgeni si yote yanaogelewa sebuleni la hasha! Vinginevyo mgeni akiyasikia yote atayatumia kuwamaliza ama kuona nyumba hiyo haifai , kumbe ni makosa ya mtu mmoja tu!! Labda ni vizuri kuwa na kiasi tena!!

Mtawatambua kwa MATENDO yao, mtu anaweza kuponya ni sawa hata Biblia inasema "....wengi watakuja kwa jina langu.......watatoa pepo.... mtawatambua kwa matendo yao...."

Nilishawahi kumuona 'nabii' akimwombea mgonjwa huku amemkanyaga! du, hii ilinitia mashaka maana WASI WASI NDO AKILI, nimesikia akiitwa Mheshimiwa nabii wa mungu, sijui uheshimiwa unaingiaje hapo>>>>>>>>>>>>>>>>> anyaway ZIPIMENI roho
 
hivi unabii siku hizi unagawiwa kama njugu eeh.

Yaani siku hizi hali si hali, mimi huwa najiuliza inakuwaje mtu from no where anaanza kujiita nabii?tujiulize kabla ya kuwa na huduma yake huko alikokuwa anaabudu alishawahi kutoa unabii?
 
kwa kweli huyu ndugu Geodavie huduma yake INATIA SHAKA
Kwa nini watu wawe na mashaka na maswali mengi juu yake lakini hawana mashaka wala wasiwasi na mtu kama Mwakasege na wahudumu wengine?
Hata mimi namuona Geodavie ni mpinga kristo.
Biblia inasema wazi kuwa amelaaniwa yule amtegemea mwanadamu, amfanyaye kuwa ngao na kinga ya maisha yake.
Geodavie yeye anatembea na mabodigadi, je Yesu hatoshi kumlinda??
Zaburi inasema Bwana asipoulinda mji waulindao wakesha bure.
Yesu alipokuwa anakamatwa ili akasulubiwe mmoja wa wanafunzi wake alitoa kisu na kumkata askari mmoja sikio, Yesu akaliunga.
Hapo alikuwa anatufundisha kuwa vita yetu si ya damu na nyama ila ni ya kiroho, tunapigana na yule adui mwovu shetani. Mabodigadi wapo ili wapigane vita gani?/ je ni ya mwili au ya roho?
Nilipata nafasi ya kuhudhuria Mkutano mmoja wa Geodavie ulifanyika mwaka jana viwanja vya Biafra,
Nilichokiona ilikuwa ni kama kupiga ramli...........
jamaa alisema kama unahisi kuna mtu yeyote anayekuroga, andika jina lake kwenye karatasi..
kisha nitafanya maombi huku tukiteketeza majina hayo kwenye moto....
Akaendelea kusema kuwa wale wote walioandikwa majina watapatwa na mambo mabaya.
Yesu hakuja kuhukumu ulimwengu ila ulimwengu uokolewe kupitia yeye.
Tunaiombea sana huduma ya Nguromo ya upako....
Tunamuombea na mheshimiwa nabiii......
Arusha amekosa watu ndo maana kahamia DSM,
Tunaomba abadilishe namna ya kuongoza watu,
abadilishe namna ya kufanya ibada,
abadilike utu wake wa ndani...
amrudie Yesu.. maana muda wote yeye husema MUNGU WA NGURUMO ULIYENITOKEA PALE MADHABAHUNi.....
Da Mi huwa nasikia Mungu wa lsaka, Mungu wa Yakobo...
Lakini huyo Mungu wa Ngurumo ni mpya.

Mkuu umeongea nakubaliana na wewe kabisa hasa hapo nili highlight na green color.
 
asante saaaana umeongea vizuri mno.
 
Back
Top Bottom